Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Zaidi ya watu 180 wameuawa katika mapigano Sudan

    Zaidi ya watu 180 wameuawa katika mapigano Sudan

    Apr 18, 2023 03:35

    Takriban watu 185 wameuawa na wengine 1,800 kujeruhiwa katika mapigano ambaye yanaendelea kwa muda wa siku nne sasa kati ya pande zinazohasimiana nchini Sudan. Hayo ni kwa mujibu wa mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan huku jamii ya kimataifa ikitoa wito kwa pande hasimu kusitisha mapigano.

  • Umoja wa Afrika wakutana kuijadili Sudan;idadi ya vifo yakaribia 100

    Umoja wa Afrika wakutana kuijadili Sudan;idadi ya vifo yakaribia 100

    Apr 17, 2023 03:00

    Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika liliitisha kikao cha dharura jana kujadiliana hali ya kisiasa na usalama nchini Sudan.

  • Mapigano yaendelea nchini Sudan kwa siku ya tatu, kila upande unadai kudhibiti Ikulu ya Rais

    Mapigano yaendelea nchini Sudan kwa siku ya tatu, kila upande unadai kudhibiti Ikulu ya Rais

    Apr 16, 2023 22:44

    Mapigano makali yanaendelea katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, baada ya vita kuingia siku yake ya tatu, na zaidi ya watu 80 kuuliwa huku zaidi ya elfu moja wakijeruhiwa, kulingana na Shirika la Afya Duniani.

  • Juhudi za kufanya mapinduzi nchini Sudan

    Juhudi za kufanya mapinduzi nchini Sudan

    Apr 16, 2023 09:53

    Nchini Sudan hali si shwari ambapo habari kutoka nchini humo zinaonyesha kuendelea mapigano kati ya jeshi la Sudan na vikosi vya radiamali ya haraka na kuzusha wasiwasi wa kutokea mapinduzi katika nchi hiyo ya Kiafrika.

  • Mapigano ya kuwania madaraka baina ya majenerali yaingia siku ya pili nchini Sudan

    Mapigano ya kuwania madaraka baina ya majenerali yaingia siku ya pili nchini Sudan

    Apr 16, 2023 06:56

    Mapigano kati ya jeshi la Sudan na Vikosi vya Radiamali ya Haraka yameingia siku ya pili, huku milipuko ikisikika tangu alfajiri ya leo, Jumapili, karibu na Mji wa Michezo, kusini mwa mji mkuu, Khartoum.

  • Madaktari Sudan: Zaidi ya watu 50 wameuawa, karibu 600 wamejeruhiwa katika mapigano

    Madaktari Sudan: Zaidi ya watu 50 wameuawa, karibu 600 wamejeruhiwa katika mapigano

    Apr 16, 2023 03:31

    Kamati Kuu ya Madaktari wa Sudan imetangaza kuwa takriban watu 56 wameuawa na wengine 595 wamejeruhiwa katika mapigano yanayoendelea nchini humo kati ya Jeshi na Kikosi cha Radiamali ya Haraka (RSF).

  • Sudan: Mapigano yazuka Khartoum kati ya jeshi la nchi na kikosi cha radiamalia ya haraka

    Sudan: Mapigano yazuka Khartoum kati ya jeshi la nchi na kikosi cha radiamalia ya haraka

    Apr 15, 2023 08:05

    Milio ya risasi na milipuko imesikika katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, baada ya siku kadhaa za mvutano kati ya kikosi cha radiamali ya haraka na jeshi la nchi hiyo.

  • Al-Burhan na wapinzani wafichua sababu za kuchelewesha makubaliano ya mwisho ya amani

    Al-Burhan na wapinzani wafichua sababu za kuchelewesha makubaliano ya mwisho ya amani

    Apr 06, 2023 09:20

    Mkuu wa Baraza Kuu la Sudan, Abdel Fattah Al-Burhan, na wawakilishi wa mirengo mbalimbali ya kisiasa ya Sudan wamefichua sababu za kuchelewesha kutiwa saini makubaliano ya mwisho ya kisiasa, ambako kulipaswa kufanyika leo, Alhamisi.

  • Watu 14 waaga dunia baada ya mgodi kuporomoka Sudan

    Watu 14 waaga dunia baada ya mgodi kuporomoka Sudan

    Apr 01, 2023 05:51

    Kwa akali watu 14 wamefariki dunia baada ya kuporomokewa na udongo kwenye mgodi wa dhahabu wa Jebel Al-Ahmar katika jimbo la Kaskazini nchini Sudan, mpakani na Misri.

  • Sudan kususia sarafu ya dola ya Marekani katika biashara na Russia

    Sudan kususia sarafu ya dola ya Marekani katika biashara na Russia

    Mar 12, 2023 08:03

    Sudan inatafakari kusitisha matumizi ya sarafu ya dola ya Marekani katika miamala yake ya kibiashara na Russia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS