-
Wasiwasi wa UN kuhusu kuuawa waandamanaji Sudan
Jan 18, 2019 03:58Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet amesema ana wasiwasi mkubwa juu ya ghasia zinazoendela nchini Sudan ambazo hadi sasa zimesababisha kuuawa kwa watu 24 na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Wasudan waendeleza maandamano ya mkate, wamtaka al Bashir ang'atuke
Jan 18, 2019 00:23Maelfu ya Wasudan waliandamana tena jana Alkhamisi katika miji mbalimbali ya nchi hiyo wakitaka kuondoka madarakani serikali ya Rais Omar al Bashir wa nchi hiyo.
-
Jumuiya ya Madaktari nchini Sudan yaitisha mgomo wa nchi nzima
Jan 11, 2019 04:37Jumuiya ya Madaktari nchini Sudan imeitisha mgomo wa nchi nzima ikilalamikia kuuawa kiholela waandamanaji kadhaa katika mji wa Omdurman.
-
Mo Ibrahim: ICC imfutie mashitaka Rais wa Sudan iwapo ataachia ngazi
Jan 09, 2019 23:20Bilionea mashuhuri mzawa wa Sudan, Mohammed Ibrahim amesema Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC inapaswa kumuondolea mashitaka Rais Omar al-Bashir wa Sudan iwapo atakubali kujiuzulu, kama anavyoshinikizwa na wananchi wanaofanya maandamano dhidi yake tangu mwezi uliopita.
-
Omar al Bashir: Machafuko ya Sudan yanachochewa na baadhi ya makundi
Jan 09, 2019 03:58Rais wa Sudan amewatuhumu watu aliowaita kuwa wanafanya njama kuwa wanahusika katika machafuko ya hivi sasa katika maandamano yanayofanyika nchini humo dhidi ya serikali yake.
-
Kuendelea maandamano ya kupinga serikali nchini Sudan
Jan 08, 2019 21:28Katika hali ambayo malalamiko na maandamano dhidi ya serikali yanaendelea nchini Sudan, Rais Omar Hassan al-Bashir wa nchi hiyo ameanza safari ya kutembelea baadhi ya majimbo ya nchi hiyo kwa shabaha ya kutuliza hali ya mambo.
-
Zaidi ya waandamanaji 800 wakamatwa Sudan
Jan 08, 2019 03:54Zaidi ya waandamanaji 816 wamekamatwa kote Sudan katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita baada ya kuanza maandamano dhidi ya utawala wa Omar al-Bashir.
-
Sudan yakanusha madai ya Netanyahu kwamba nchi hiyo imeruhusu ndege za Israel kutumia anga yake
Jan 07, 2019 09:58Rais Omar al Bashir wa Sudan amekanusha madai ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel aliyesema kuwa ndege za utawala huo zimeruhusiwa kutumia anga ya Sudan.
-
Maandamano yaendelea Sudan, wahadhiri wa vyuo vikuu watiwa nguvuni
Jan 06, 2019 09:11Askari usalama wa Sudan wamewatia nguvuni wahadhiri wa vyuo vikuuu walioanzisha mgomo leo mjini Khaertoum na kukabiliana na waandamanaji kwa mabomu ya kutoa machozi.
-
Polisi ya Sudan yatumia mabomu ya kutoa machozi kukabiliana na waandamanaji wanaodai 'amani na uadilifu'
Jan 04, 2019 23:11Askari polisi wa Sudan wametumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya wapinzani wa serikali waliokuwa wakiandamana katika mji wa Omdurman, karibu na mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum.