Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Rais wa Sudan awa kiongozi wa mwanzo wa Arab League kuitembelea Syria miaka 8 tangu vilipoanza vita

    Rais wa Sudan awa kiongozi wa mwanzo wa Arab League kuitembelea Syria miaka 8 tangu vilipoanza vita

    Dec 17, 2018 00:36

    Rais Omar al-Bashir wa Sudan amefanya safari nchini Syria na kuwa kiongozi wa kwanza wa nchi mwanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kuitembelea nchi hiyo tangu ulipoanza mgogoro wa ndani miaka minane iliyopita.

  • Bunge la Sudan launga mkono marekebisho ya sheria za uchaguzi, al Bashir kugombea tena

    Bunge la Sudan launga mkono marekebisho ya sheria za uchaguzi, al Bashir kugombea tena

    Dec 05, 2018 04:39

    Kiongozi wa muda mrefu wa Sudan, Omar Hassan al Bashir anakaribia kupata idhini ya kugombea tena kiti cha rais wa nchi hiyo baada ya wawakilishi wa Bunge la nchi hiyo kuunga mkono pendekezo la kufanyika marekebisho ya sheria za uchaguzi.

  • Sudan inapanga kujitoa kwenye muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen

    Sudan inapanga kujitoa kwenye muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen

    Nov 28, 2018 13:06

    Duru za kidiplomasia zimeripoti kuwa, umejitokeza mvutano kati ya Saudi Arabia na Sudan kutokana na kubadilika misimamo ya pande mbili juu ya suala la kuendelezwa hujuma na mashambulio ya kijeshi dhidi ya Yemen.

  • Sudan na Misri zaafiki doria ya pamoja mpakani kukabiliana na ugaidi

    Sudan na Misri zaafiki doria ya pamoja mpakani kukabiliana na ugaidi

    Nov 26, 2018 04:47

    Sudan na Misri zimekubaliana kulinda doria ya pamoja katika mpaka kati yao na kuzindua kikosi cha pamoja katika siku za baadaye ili kupambana na ugaidi.

  • Wafanya magendo ya binadamu wawaachia huru mateka 84 mashariki mwa Sudan

    Wafanya magendo ya binadamu wawaachia huru mateka 84 mashariki mwa Sudan

    Nov 19, 2018 04:29

    Maafisa husika wa Sudan wameripoti kuwa mateka 84 raia wa kigeni wakiwemo wanawake 51 wameachiwa huru na kundi moja la magendo ya binadamu katika mkoa wa Kassala mashariki mwa nchi hiyo.

  • Kiir kuwa mpatanishi baina ya serikali ya Sudan na waasi wa Darfur

    Kiir kuwa mpatanishi baina ya serikali ya Sudan na waasi wa Darfur

    Nov 04, 2018 08:55

    Serikali ya Sudan imetangaza kuwa, Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini atakuwa mpatanishi katika mazungumzo ya amani baina ya Khartoum na waasi wa eneo la Darfur.

  • UN: Sudan inapasa kuwashtaki wahusika wa jinai za Darfur

    UN: Sudan inapasa kuwashtaki wahusika wa jinai za Darfur

    Nov 02, 2018 23:25

    Umoja wa Mataifa umeitaka Sudan kuwafungulia mashtaka askari jeshi waliohusika na mashambulizi jimboni Darfu magharibi mwa nchi hiyo kuanzia mwaka 2014 hadi 2016.

  • Sudan yaondoa marufuku ya uingizaji mazao ya kilimo kutoka Misri

    Sudan yaondoa marufuku ya uingizaji mazao ya kilimo kutoka Misri

    Oct 26, 2018 04:41

    Rais Omar al Bashir wa Sudan jana alitoa dikrii na kuondoa marufuku ya miezi 17 ya kuzuia kuingizwa nchini humo mazao ya kilimo kutoka Misri.

  • Bunge la Sudan Kusini lapasisha hati ya makubaliano ya amani ya Salva Kiir na Riek Machar

    Bunge la Sudan Kusini lapasisha hati ya makubaliano ya amani ya Salva Kiir na Riek Machar

    Oct 19, 2018 00:43

    Bunge la Sudan Kusini limepasisha hati ya makubaliano ya amani iliyotiwa saini takribani mwezi mmoja uliopita kati ya serikali ya Rais wa nchi hiyo Salva Kiir na waasi wanaoongozwa na Riek Machar.

  • UN yaongeza 'muda wa mwisho' wa kuhudumu kikosi chake Abyei

    UN yaongeza 'muda wa mwisho' wa kuhudumu kikosi chake Abyei

    Oct 12, 2018 04:00

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kuongezewa muda wa kuhudumu kikosi chake cha kulinda amani katika eneo la Abyei, lililoko kwenye mpaka wa Sudan na Sudan Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS