-
Al Bashir asisitiza kufungamana na mchakato wa amani Sudan
Oct 10, 2018 22:59Rais wa Sudan amesisitiza kuwa nchi yake inafungamana na kukamilishwa mchakato wa amani nchini humo kabla ya kumalizika mwaka huu wa 2018.
-
Al Bashir: Eneo la Halayeb ni milki ya Sudan
Sep 30, 2018 10:38Rais wa Sudan amesema tena kwamba eneo linalogombaniwa la Halayeb ni milki ya nchi yake na kwamba Khartoum inazo nyaraka za kihistoria zinazothibitisha madai hayo.
-
Serikali ya Sudan yavunjwa kwa mgogoro wa kiuchumi
Sep 10, 2018 02:57Rais Omar al Bashir wa Sudan ameivunja serikali ya nchi hiyo na kuteua waziri mkuu mpya katika hatua inayoonekana ni ya kukabiliana na mgogoro wa kiuchumi wa nchi hiyo.
-
Wasudan wapinga kuwepo majeshi ya nchi yao katika muungano wa Saudia nchini Yemen
Aug 18, 2018 09:53Wananchi, makundi mbalimbali ya kisiasa na wawakilishi wa Bunge la Sudan kwa mara nyingine tena wametangaza upinzani wao dhidi ya kushiriki jeshi la nchi hiyo katika muungano wa Saudi Arabia katika vita vya Yemen.
-
Uchunguzi waonyesha kwamba raia wa Sudan wanataka askari wa nchi yao waondoke Yemen
Aug 14, 2018 22:06Waandishi na watu wenye vipawa nchini Sudan wameakisi maoni ya raia wa nchi hiyo yanayoitaka serikali ya Khartoum iwaondoe haraka askari wake nchini Yemen.
-
Chama tawala Sudan chamuunga mkono al Bashir kugombea mwaka 2020
Aug 10, 2018 23:33Chama tawala nchini Sudan kimemchagua Rais Omar al Bashir kugombea kiti cha urais katika uchaguzi wa mwaka 2020. Uamuzi huo umechukuliwa licha ya kwamba katiba ya Sudan inaruhu Rais kuwa madarakani kwa mihula miwili ya miaka mitano mitano.
-
Kufichuliwa msaada wa kifedha wa Marekani kwa al Qaida nchini Sudan
Jul 27, 2018 00:13Kituo kimoja cha utafiti nchini Marekani kimefichua kuwa serikali ya zamani ya nchi hiyo ilikuwa ikilifadhili kifedha tawi la kundi la kigaidi la al Qaida huko Sudan.
-
Salva Kiir na Riek Machar kutia saini mkataba wa amani Alkhamisi ya kesho
Jul 18, 2018 09:21Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Sudan imetangaza kuwa, pande hasimu nchini Sudan Kusini zimefikia makubaliano ya kugawana madaraka ambayo yatatiwa saini Alkhamisi ya kesho.
-
Makumi ya wahanga wa magendo ya binadamu wakombolewa Sudan
Jul 16, 2018 08:23Maafisa wa serikali ya Sudan wametangaza kuwa, wahanga wapatao 139 wa magendo ya binadamu waliokuwa wakishikiliwa mateka wamekombolewa kutoka mikononi mwa magenge ya magendo ya binadamu mashariki mwa nchi hiyo.
-
Baraza la Usalama laongeza muda wa kuhudumu kikosi cha UNAMID huko Darfur Sudan
Jul 14, 2018 09:10Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeongeza muda wa kuhudumu kikosi cha pamoja cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika UNAMID katika jimbo la Darfur la magharibi mwa Sudan.