Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • UN: Machafuko ya Sudan Kusini yanazuia ugawaji wa misaada ya chakula

    UN: Machafuko ya Sudan Kusini yanazuia ugawaji wa misaada ya chakula

    Oct 29, 2018 14:30

    Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limetangaza kuwa, machafuko yanayoendelea nchini Sudan Kusini yanazuia operesheni za kugawa misaada ya chakula kwa watu wanaosumbuliwa na njaa kali katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.

  • UN: Pande hasimu Sudan Kusini ziliwateka nyara na kuwanajisi mamia ya wanawake

    UN: Pande hasimu Sudan Kusini ziliwateka nyara na kuwanajisi mamia ya wanawake

    Oct 24, 2018 16:49

    Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini umeeleza kuwa, askari wa serikali na waasi nchini humo wamewateka nyara mamia ya wanawake na wasichana mwaka huu na wengi miongoni mwao walibakwa na kufanywa watumwa wa ngono.

  • Wapinzani wa serikali ya Sudan Kusini wahusishwa na jinai dhidi ya wanawake na watoto

    Wapinzani wa serikali ya Sudan Kusini wahusishwa na jinai dhidi ya wanawake na watoto

    Oct 19, 2018 14:43

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binaadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, wapinzani wenye silaha nchini Sudan Kusini wamekuwa wakiwabaka na wakuwadhalilisha kijinsia wasichana na wanawake, baada ya kuwateka.

  • UN yaongeza 'muda wa mwisho' wa kuhudumu kikosi chake Abyei

    UN yaongeza 'muda wa mwisho' wa kuhudumu kikosi chake Abyei

    Oct 12, 2018 07:30

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kuongezewa muda wa kuhudumu kikosi chake cha kulinda amani katika eneo la Abyei, lililoko kwenye mpaka wa Sudan na Sudan Kusini.

  • Wafungwa Sudan Kusini wadhibiti seli katika mji mkuu Juba

    Wafungwa Sudan Kusini wadhibiti seli katika mji mkuu Juba

    Oct 08, 2018 02:34

    Wafungwa kadhaa jana Jumapili waliwapokonya silaha walinzi na kisha kudhibiti eneo moja la seli ya wafungwa huko Juba mji mkuu wa Sudan Kusini. Hayo yameelezwa na Idara ya Usalama wa taifa ya nchi hiyo.

  • Wafungwa wazusha ghasia Sudan Kusini, waiba silaha

    Wafungwa wazusha ghasia Sudan Kusini, waiba silaha

    Oct 07, 2018 07:43

    Hali ya taharuki imetanda katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, baada ya mamia ya wafungwa katika gereza moja kuvunja ghala la silaha na kukabiliana na walinzi.

  • Sudan Kusini yaiambia UN kuwa makubaliano ya amani hayatakiukwa

    Sudan Kusini yaiambia UN kuwa makubaliano ya amani hayatakiukwa

    Sep 29, 2018 08:16

    Makamu wa Rais wa Sudan Kusini ameuambia mkutano wa 73 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba makubaliano ya amani ya mara hii yaliyofikiwa hivi karibuni na mahasimu wa kisiasa wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika yatadumu na wana wingi wa matumaini kwamba hayatakiukwa.

  • Ripoti: Mapigano nchini Sudan Kusini yameua watu laki 4

    Ripoti: Mapigano nchini Sudan Kusini yameua watu laki 4

    Sep 26, 2018 13:46

    Ripoti mpya inasema watu karibu laki nne wameuawa katika mapigano ya kikabila nchini Sudan Kusini.

  • Licha ya kufikiwa maafikiano ya kusitisha vita, mapigano yaanza tena Sudan Kusini

    Licha ya kufikiwa maafikiano ya kusitisha vita, mapigano yaanza tena Sudan Kusini

    Sep 25, 2018 14:10

    Mapigano kati ya vikosi vya jeshi la serikali ya Sudan Kusini na vya kundi kubwa zaidi la waasi yameanza tena kaskazini mwa nchi hiyo baada ya kupita wiki mbili tangu pande hizo mbili zisaini makubaliano ya usitishaji vita.

  • Amnesty yasajili jinai mpya za kivita nchini Sudan Kusini

    Amnesty yasajili jinai mpya za kivita nchini Sudan Kusini

    Sep 19, 2018 07:26

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeituhumu serikali ya Sudan Kusini na makundi ya wabeba silaha yanayoungwa mkono na serikali hiyo kwamba yametenda jinai za kivita na ukatili wa kutisha dhidi ya raia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS