-
UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu vitendo vya ukatili Sudan Kusini
Sep 18, 2018 08:26Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba una wasiwasi kuhusu vitendo vya ukatili na mateso dhidi ya raia hususan wanawake na watoto wadogo vinavyoendelea kufanyika Sudan Kusini.
-
UN yalaani kushambuliwa askari wake Sudan Kusini
Sep 16, 2018 10:34Kamanda wa askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini amelaani kitendo cha kushambuliwa maafisa wake nchini humo.
-
Mapigano yaanza tena Sudan Kusini siku mbili baada ya kusainiwa makubaliano rasmi ya amani
Sep 14, 2018 20:16Mapigano yameanza tena upya nchini Sudan Kusini siku mbili baada ya pande zinazopigana kusaini makubaliano rasmi ya suluhu na amani kwa lengo la kuhitimisha vita vya ndani nchini humo.
-
UN yawapongeza mahasimu Sudan Kusini kwa kutia saini mkataba wa amani
Sep 14, 2018 02:31Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa António Guterres amesema kuwa, kusainiwa mkataba ulioboreshwa wa kutatua migogoro nchini Sudan Kusini (RARCSS) tarehe 12 mwezi huu wa Septemba 2018 ni maendeleo mazuri na muhimu.
-
Kiir na Machar watia saini makubaliano ya amani Sudan Kusini
Sep 13, 2018 00:11Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini na hasimu wake wa kisiasa, Riek Machar jana walitia saini makubaliano ya amani katika mkutano uliofanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia.
-
Watu wasiopungua 17 waaga dunia katika ajali ya ndege Sudan Kusini
Sep 09, 2018 11:27Watu wasiopungua 17 wamepoteza maisha baada ya ndege ndogo iliyokuwa imebeba abiria kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Juba ikielekea katika mji wa Yirol kuanguka hii leo. Hayo yameelezwa na Taban Abel, Waziri wa Habari wa Sudan Kusini.
-
UN yaitaka Sudan Kusini kupambana haraka na uvunjaji wa haki za watoto
Sep 08, 2018 10:21Mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya watoto na mapigano ya kutumia silaha ameisisitizia serikali ya Sudan Kusini wajibu wake wa kuchukua hatua za haraka za kupambana na uvunjaji wa haki za watoto na kuwapandisha kizimbani wahalifu.
-
Sudan Kusini yawafunga jela wanajeshi wabakaji
Sep 07, 2018 11:26Mahakama ya jeshi Sudan Kusini imewahukumu vifungo virefu wanajeshi 10 waliowabaka wafanyakazi wageni watoa misaada, mbali na uporaji na mauaji yaliyotokea upya mwezi Julai 2016.
-
Riek Machar akubali kusaini makubaliano ya mwisho ya amani ya Sudan Kusini
Aug 29, 2018 03:17Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini amekubali kutia saini makubaliano ya mwisho ya mkataba wa amani na serikali ya Juba ambayo yatamaliza mgogoro wa muda mrefu wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.
-
Riek Machar akataa kusaini rasimu ya makubaliano ya amani Sudan Kusini
Aug 28, 2018 07:46Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini, amekataa kutia sahihi rasimu ya hivi karibuni ya mkataba wa amani na serikali ya Juba ambayo ingemaliza mgogoro wa miaka mingi wa nchi hiyo.