-
Sudan: Tuko tayari kupanua ushirikiano wetu na nchi ya Qatar
Mar 12, 2018 03:52Ibrahim Ghandour, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Sudan amesema kuwa, nchi yake iko tayari kustawisha ushirikiano wake na nchi ya Qatar.
-
Homa ya uti wa mgongo yaendelea kuaw watu Sudan Kusini
Mar 09, 2018 00:20Afisa mmoja wa masuala ya kiutaalamu wa Shirika la Afya Duniani WHO ameripoti habari ya kupoteza maisha karibu watu 30 kutokana na homa ya uti wa mgongo nchini Sudan Kusini.
-
Sudan Kusini yaomba uanachama Arab League
Mar 06, 2018 23:48Sudan Kusini jana Jumanne iliwasilisha ombi rasmi la kuwa mwanachama katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Sudan Kusini yapinga sera za Magharibi za kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo
Mar 06, 2018 13:46Serikali ya Sudan Kusini imepinga vikali sera za nchi za Magharibi za kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo na kutahadharisha kuwa, mashinikizo ya nchi hizo hayawezi kusaidia mwenendo wa kurejesha amani huko Sudan Kusini.
-
IGAD yaunga mkono vikwazo dhidi ya wanaovuruga amani Sudan Kusini
Mar 02, 2018 04:09Jumuiya ya Maendeleo ya Kiserikali ya Nchi za Afrika Mashariki IGAD imetangaza kuwa inaunga mkono hatua ya kuwekewa vikwazo viongozi na shakhsia wote wanaokwamisha jitihada za kupatiwa ufumbuzi mgogoro nchini Sudan Kusini.
-
Sudan Kusini yakaribia kukumbwa na baa jingine la njaa
Feb 26, 2018 11:05Karibu theluthi mbili ya jamii nzima ya watu wa Sudan Kusini wanahitaji misaada ya chakula ili kukabiliana na njaa. Hayo yameelezwa na maafisa wa serikali na Umoja wa Mataifa.
-
Walinda amani Sudan Kusini wakumbwa na kashfa ya kimaadili
Feb 26, 2018 03:51Baadhi ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa wanakabiliwa na tuhuma za kufanya ufisadi wa kimaadili katika mji wa Wau wa Sudan Kusini.
-
UN: Yamkini maafisa wa jeshi la Sudan Kusini wametenda jinai za kivita
Feb 24, 2018 23:18Wakaguzi wa umoja wa Mataifa wanasema zaidi ya maafisa 40 wa Jeshi la Sudan Kusini wanaaminika kutenda jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu.
-
SAUTI, Rais Salva Kiir aweka wazi kwamba Marekani ndio chanzo cha mzozo na mauaji Sudan Kusini
Feb 23, 2018 13:27Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ametamka bayana kwamba Marekani ndio ambayo inasababisha ukosefu wa amani ndani ya nchi yake changa zaidi barani Afrika.
-
UN yakosoa ukandamizaji wa waandishi habari Sudan Kusini
Feb 23, 2018 00:22Umoja wa Mataifa umekosoa mienendo na hatua zinazochukuliwa na serikali ya Sudan Kusini dhidi ya waandishi wa habari.