-
UN: Maelfu ya Wasudani Kusini watakimbilia Sudan mwaka huu wa 2018
Feb 17, 2018 04:45Ofisi ya kuratibu masuala ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imesema katika ripoti yake mpya kwamba karibu wakimbizi laki mbili kutoka Sudan Kusini wataingia nchi jirani ya Sudan mwaka huu wa 2018.
-
Umoja wa Mataifa waonyesha matumaini ya kufikiwa makubaliano ya amani Sudan Kusini
Feb 16, 2018 04:15Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Sudan Kusini ameeleza matarajio yake juu ya kufikiwa makubaliano ya amani ya kuhitimisha machafuko nchini humo katika mazungumzo yanayoendelea hivi sasa mjini Addis Abab, Ethiopia.
-
Msemaji wa waasi wa Sudan Kusini ahukumiwa kifo
Feb 13, 2018 04:40Msemaji wa waasi nchini Sudan Kusini, James Gatdet Dak amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya uhaini.
-
Malalamiko dhidi ya Trump Sudan Kusini
Feb 07, 2018 08:55Watu wa Sudan Kusini wamefanya maandamano nchini humo wakilalamikia amri mpya ya Rais Doland Trump wa Marekani ya kupiga marufuku jeshi la nchi hiyo ya Kiafrika kuuziwa silaha.
-
Mwandishi habari wa Marekani apigwa na waandamanaji Sudan Kusini
Feb 06, 2018 23:05Wananchi waliokuwa na hasira Jumanne walimpiga vibaya mwandishi habari wa Marekani katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba wakati wa maandamano ya kupinga vikwazo vya silaha vya Marekani dhidi ya nchi hiyo.
-
Sudan Kusini yamuita nyumbani balozi wake kutoka Marekani
Feb 05, 2018 01:07Sudan Kusini imemuita nyumbani balozi wake wa Marekani, huku mzozo kati ya Washington na Juba kuhusu kuwekewa vikwazo vya silaha nchi hiyo changa zaidi barani Afrika ukipamba moto.
-
Raia wa Sudan Kusini waendelea kuikimbia nchi yao kutokana na machafuko
Jan 31, 2018 23:09Mwakilishi wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR ameelezea ongezeko la raia wa Sudan Kusini wanaokimbia nchi yao kuelekea nchi jirani ya Sudan.
-
Umoja wa Afrika kuwawekea vikwazo wanaohatarisha amani Sudan Kusini
Jan 29, 2018 03:00Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesema umoja huo utawawekea vikwazo wale wote wanakwaza na kutatiza juhudi za kurejesha amani na usalama nchini Sudan Kusini.
-
Wasimamizi wa usitishaji vita Sudan Kusini: Viongozi wanaokiuka makubaliano ya amani kukabiliwa na vikwazo
Jan 25, 2018 10:42Timu ya kusimamia usitishaji vita nchini Sudan Kusini inayoungwa mkono kimataifa imesema kuwa imeliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litamke iwapo viongozi wanaokiuka makubaliano ya amani mali zizuiwe, kuwekewa marufuku ya kusafiri katika nchi za kanda au kuwekewa vikwazo vya silaha.
-
Waasi Sudan Kusini wawashikilia mateka marubani Wakenya, wanataka fidia
Jan 23, 2018 11:43Waasi wa Sudan Kusini wanawashikilia mateka marubani wawili wa ndege kutoka Kenya na wanasema hawatawaachilia huru hadi pale watakapotoa fidia kwa familia ya raia aliyeuawa wakati ndege yao ilipoanguka wakati wa kutua.