-
Watoto 36 wapoteza maisha kwa malaria Sudan Kusini katika muda wa wiki 2
Nov 06, 2024 02:29Afisa wa ngazi ya juu wa serikali ya Sudan Kusini jana Jumanne alithibitisha kupoteza maisha watu 41 kutokana na ugonjwa wa malaria ,36 wakiwa ni watoto katika mji wa Pibor nchini humo.
-
Sudan Kusini: Mahakama ya Kijeshi yawahukumu vifungo jela wanajeshi wanane kwa hatia ya mauaji, ubakaji
Sep 04, 2024 14:21Mahakama ya Kijeshi ya Marid nchini Sudan Kusini imewahukumu wanajeshi wanane kwa mauaji na makosa mengine.
-
UN:80% ya Wasudan Kusini wanahitaji ulinzi, msaada wa kibinadamu
Aug 15, 2024 02:45Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu inayozidi kuzorota nchini Sudan Kusini, huku takriban asilimia 80 ya wananchi wa nchi hiyo wakihitaji kudhaminiwa usalama na ulinzi na vile vile kupewa msaada wa kibinadamu.
-
Mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini yanakabiliwa na hatari ya kuvunjika
Jul 10, 2024 12:21Mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini ambayo kwa kiasi kikubwa yalikuwa yanakaribia kukamilika, yamekumbwa na mkwamo baada ya makundi ya upinzani ya nchi hiyo kutaka kufutwa kwa muswada mpya uliopasishwa unaoruhusu kuwekwa kizuizini watu bila kwanza kutolewa hati ya kukamatwa.
-
Sekta ya mafuta ya Sudan Kusini yaathiriwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan
Mar 27, 2024 11:55Machafuko na ukosefu wa usalama vinaweza kushtadi huko Sudan Kusini baada ya moja ya mabomba yake makuu ya mafuta linaloelekea katika masoko ya kimataifa kupitia nchi jirani ya Sudan kuathirika mwezi uliopita. Haya ni kwa mujibu wa wataalamu wa masuala ya uchumi. Wamesema kuwa kusitishwa uzalishaji wa mafuta huko Sudan Kusini kunaweza kuchochea pakubwa ghasia na ukosefu wa usalama nchini humo.
-
Taharuki yatanda Sudan Kusini baada ya watu 15 kuuawa Pibor
Mar 21, 2024 02:54Hali ya wasi wasi imetanda nchini Sudan Kusini kufuatia mauaji ya watu 15 yaliyotokea katika eneo la Pibor, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Sudan Kusini: Madola makubwa yanatumia vikwazo kubinya nchi zinazoendelea
Mar 02, 2024 11:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan Kusini amesema moja ya changamoto kuu zinazozikabili nchi maskini za ulimwengu wa tatu ni vikwazo vya madola makubwa duniani dhidi yazo.
-
Kadhaa wauawa Abyei mpakani mwa Sudan na Sudan Kusini
Jan 01, 2024 12:20Kwa akali watu sita wameuawa katika shambulizi linaloamini ni la ulipizaji kisasi katika eneo linalozozaniwa la Abyei, kwenye mpaka wa Sudan na Sudan Kusini.
-
UN yalaani machafuko ya karibuni Sudan Kusini
Dec 12, 2023 11:51Umoja wa Mataifa umelaani vikali machafuko ya hivi karibuni katika jimbo la Warrap na katika eneo la Abyei ambayo tangu mwezi uliopita hadi sasa yamesababisha kuuawa makumi ya watu.
-
UN yatoa indhari: Idadi ya wanaokimbilia Sudan Kusini kutoka Sudan imeongezeka
Nov 10, 2023 06:56Mashirika ya kibindamu ya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini yametahadharisha kuhusu ongezeko kubwa la watu wanaorejea na wakimbizi wanaokimbia mzozo na kuelekea kaskazini nchini Sudan.