Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Makombora ya IRGC yazitwanga ngome za magaidi Syria na kituo cha ujasusi cha Mossad Kurdistan ya Iraq

    Makombora ya IRGC yazitwanga ngome za magaidi Syria na kituo cha ujasusi cha Mossad Kurdistan ya Iraq

    Jan 16, 2024 00:40

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa, limevurumisha makombora ya balestiki kulenga ngome za magaidi wa Syria, waliohusika katika mashambulizi ya hivi karibuni nchini Iran, pamoja na kituo cha ujasusi cha Israel katika eneo la Kurdistan ya Iraq.

  • Vituo vya kijeshi vya US vimeshambuliwa mara 130 na muqawama Iraq, Syria

    Vituo vya kijeshi vya US vimeshambuliwa mara 130 na muqawama Iraq, Syria

    Jan 13, 2024 08:20

    Kambi na vituo vya muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika nchi za Syria na Iraq vimeshambuliwa mara 130, tangu vilipoanza vita vya Gaza mnamo Oktoba mwaka uliopita.

  • Tangu Oktoba 17 vituo vya kijeshi vya Marekani Asia Magharibi vimeshambuliwa mara 115

    Tangu Oktoba 17 vituo vya kijeshi vya Marekani Asia Magharibi vimeshambuliwa mara 115

    Jan 06, 2024 00:17

    Afisa mmoja wa Marekani amekiri kuwa katika muda wa siku 81 zilizopita, ngome na vituo vya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika eneo la Asia Magharibi vimeshambuliwa mara 115.

  • Radiamali mbalimbali za kuuawa shahidi mshauri wa kijeshi wa Iran nchini Syria

    Radiamali mbalimbali za kuuawa shahidi mshauri wa kijeshi wa Iran nchini Syria

    Dec 26, 2023 05:28

    Kamanda Sayyid Razi Mousavi, mmoja wa washauri wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH), ambaye alikuwa akifanya kazi katika uga wa utoaji misaada ya kilojistiki kwa Mhimili wa Muqawama wa Syria, aliuawa shahidi katika shambulio lililofanywa jana Jumatatu na utawala wa Kizayuni katika eneo la Zainabiyah mjini Damascus.

  • Wanamuqawama wa Iraq washambulia kambi nne za Marekani  huko Iraq na Syria

    Wanamuqawama wa Iraq washambulia kambi nne za Marekani huko Iraq na Syria

    Nov 06, 2023 03:35

    Kwa mara ya nne leo asubuhi wanamuqawama wa Iraq wameshmbulia kambi za jeshi la Marekani huko Iraq na Syria.

  • Kambi za kijeshi za Marekani zashambuliwa kwa droni Iraq, Syria

    Kambi za kijeshi za Marekani zashambuliwa kwa droni Iraq, Syria

    Nov 03, 2023 23:33

    Vituo viwili vya kijeshi vya Marekani vimeshambuliwa katika hujuma za ndege zisizo na rubani (droni) katika eneo la Kurdistan la kaskazini mwa Iraq na katika mkoa wa Hasaka, mashariki mwa Syria.

  • Ndege za kivita za Russia zashambulia maficho ya magaidi Idlib na Latakia nchini Syria

    Ndege za kivita za Russia zashambulia maficho ya magaidi Idlib na Latakia nchini Syria

    Oct 30, 2023 08:04

    Naibu mkuu wa Kituo cha Maridhiano cha Russia nchini Syria ametangaza kuwa jeshi la anga la Russia limefanya shambulio dhidi ya maficho ya chini ya ardhi ya makundi ya kigaidi katika miji ya Idlib na Latakia kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

  • Abdollahian: Wamagharibi wanapotosha ukweli ili wahalalishe jinai za israel huko Gaza

    Abdollahian: Wamagharibi wanapotosha ukweli ili wahalalishe jinai za israel huko Gaza

    Oct 14, 2023 04:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Magharibi zinafuatilia kupotosha ukweli wa mambo juu ya matukio yanayoshuhudiwa katika Ukanda wa Gaza, ili kwa njia hiyo zihalalishe jinai zinazofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina wanaoishi katika eneo hilo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu.

  • Israel yashambulia kwa makombora viwanja vya ndege Syria

    Israel yashambulia kwa makombora viwanja vya ndege Syria

    Oct 13, 2023 03:43

    Vikosi vya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel vimefanya mashambulizi ya anga kwa kutumia makombora dhidi ya viwanja viwili vya ndege nchini Syria; wakati huu ambapo dunia inaendelea kulaani mashambulizi ya anga ya utawala wa Tel Aviv katika maeneo ya makazi ya raia huko katika Ukanda wa Gaza ili kujaribu kufidia kipigo ulichopata kutoka kwa wapambanaji wa Hamas.

  • Syria: Damu ya Mashahidi itaongeza azma yetu ya kupata ushindi kamili

    Syria: Damu ya Mashahidi itaongeza azma yetu ya kupata ushindi kamili

    Oct 06, 2023 07:40

    Ofisi ya Rais wa Syria imetoa taarifa ikizungumzia kushindwa ugaidi mbele ya irada na uwezo wa nchi hiyo na kusisitiza kwamba damu ya Mashahidi wa chuo cha kijeshi cha Homs inaongeza azma ya Damascus ya kufikia ushindi kamili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS