-
Ansarullah yatangaza kushikamana na taifa la Syria
Oct 06, 2023 03:40Ofisi ya kisiasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen imelaani mashambulizi ya makundi ya kigaidi katika chuo cha kijeshi cha Homs nchini Syria.
-
Nasrullah: Lazima Wazayuni waisikie sauti ya Umma wa Kiislamu kuhusiana na kibla cha kwanza cha Waislamu
Oct 03, 2023 03:10Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, Umma wa Kiislamu unapaswa utekeleze wajibu wake kwa watu wa Palestina na Msikiti wa Al-Aqsa, na akasisitiza kuwa: Wazayuni lazima waisikie sauti ya Umma wa Kiislamu kuhusiana na Kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Uturuki bado inatafuta fursa kwa kuendelea kukalia ardhi ya Syria
Oct 02, 2023 07:35Ankara imetangaza kwa mara nyingine kuwa serikali ya Uturuki itaanzisha tena mazungumzo yake na Iran na Russia kwa lengo la kuboresha uhusiano na Syria.
-
Bashar Assad: Marekani inashirikiana na magaidi
Sep 30, 2023 03:46Rais Bashar al-Assad wa Syria amezungumzia kuwepo kwa magaidi katika maeneo ya kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na jinsi Marekani ilivyo na udhibiti kamili wa maeneo hayo na kusisitiza kwamba Washington inashirikiana na magaidi.
-
Umuhimu wa safari ya Bashar al Assad huko China
Sep 23, 2023 08:02Rais Bashar al Assad wa Syria Alhamisi ya juzi tarehe 21 Septemba aliwasili katika mji wa Hangzhou mashariki wa China kwa lengo la kushiriki katika hafla ya ufunguzi wa michezo ya Asia ya Hangzhou na kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Xi Jin Ping wa nchi hiyo.
-
Magaidi zaidi ya 100 waangamizwa katika mji wa Idlib Syria
Sep 10, 2023 04:00Zaidi ya magaidi 100 wameangamizwa nchini Syria na kutoa pigo kwa mabaki ya wapiganaji wa kigaidi katika nchi hiyo.
-
Abdollahian: Iran itaendelea kusimama pamoja na Syria hadi kutokomeza kabisa ugaidi
Aug 31, 2023 08:44Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza haja ya kuheshimiwa mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Syria na kusisitiza kwamba, Iran itaendelea kusimama pamoja na Syria katika kukamilisha kampeni yake dhidi ya ugaidi.
-
Sababu za Marekani kurudisha kundi la kigaidi la Daesh nchini Syria
Aug 19, 2023 04:48Kundi la kigaidi la Daesh au jina jingine ISIS, limezidisha mashambulizi yake katika ardhi ya Syria. Syria na Iran zimeshuhudia mashambulizi ya kigaidi ya kundi hilo katika wiki za hivi karibuni. Kuna dalili za kutosha zinazothibitisha kwamba Marekani ndiyo inayochochea mashambulizi hayo.
-
Damascus: Marekani imefanya uhalifu mpya dhidi ya jeshi la Syria
Aug 13, 2023 04:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetangaza kuwa Marekani imezidisha vitendo uhalifu na jinai mpya za katika nchi hiyo.
-
HAMAS: Israel ni adui wa Umma wa Kiislamu, tuungane kukabiliana na uchokozi wake
Aug 07, 2023 08:34Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria na kusababisha vifo vya askari wanne wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, umma wote wa Kiislamu unapaswa kuungana pamoja kukabiliana na utawala huo dhalimu.