-
Moscow yawaonya magaidi wasijaribu kushambulia wanajeshi wa Russia na Syria
Aug 03, 2023 23:04Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema kuwa, Moscow ina taarifa kwamba magenge ya kigaidi yanapanga njama za kutumia magaidi wa kujiripua kwa mabomu dhidi ya wanajeshi wa Russia na Syria na kwamba inatoa onyo mapema kuhusu njama hizo.
-
Kuendelea mashambulio ya kijeshi ya Uturuki dhidi ya Syria na Iraq
Aug 03, 2023 23:02Licha ya kufanyika mazungumzo ya amani kati ya Ankara na Damascus, mashambulizi ya kijeshi ya Uturuki dhidi ya Syria na Iraq yangali ni ajenda inayofanyiwa kazi na serikali ya Ankara.
-
Abdollahian: Uwepo wa vikosi vya kigeni katika ardhi ya Syria si ufumbuzi
Jul 31, 2023 10:13Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwepo wa vikosi vya kigeni katika ardhi ya Syria hakusaidii katu amani na uthabiti wa nchi hiyo wala wa eneo la Asia Magharibi.
-
Misri yakosoa EU kufuta mkutano baada ya Syria kurejea Arab League
Jun 19, 2023 07:18Misri imekosoa uamuzi wa Umoja wa Ulaya (EU) wa kufuta mkutano uliotazamiwa kufanyika wiki ijayo wa ngazi ya mawaziri baina yake na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, kutokana na Syria kurejeshewa uanachama kwenye taasisi hiyo ya Arab League.
-
Ngao ya ulinzi ya Syria yatungua makombora ya Israel Damascus
May 29, 2023 07:08Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Syria kimetangaza kutungua makombora yaliyovurumishwa na utawala haramu wa Israel kuelekea viungani mwa mji mkuu Damascus.
-
Syria: Rais Assad hatakutana na Erdogan mpaka Uturuki ikomeshe uvamizi na ukaliaji wa ardhi
May 22, 2023 06:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Faisal al-Miqdad amesema, uhusiano wa nchi hiyo na Uturuki hautarejea katika hali ya kawaida isipokuwa tu kama nchi hiyo itaondoka katika ardhi ya Syria.
-
Duru za Kizayuni zakiri ushindi mkubwa wa Rais Bashar al Assad wa Syria
May 20, 2023 07:41Duru za habari za utawala wa Kizayuni wa Israel zimekiri kwamba Rais Bashar al Assad wa Syria amepata ushindi mkubwa kwa kushiriki kwake katika Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Arab League mjini Jeddah na kuonana kwake na mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia, Mohammad bin Salman.
-
Rais wa Syria afanya ziara ya kihistoria nchini Saudi Arabia + Video
May 18, 2023 22:55Rais Bashar al Assad wa Syria usiku wa kuamkia leo Ijumaa amewasili nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kushiriki katika kikao cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ikiwa ni ziara ya kwanza ya kutembelea nchi hiyo tangu Syria ilipotumbukizwa kwenye mgogoro wa uvamizi wa magenge ya kigaidi.
-
Kikao cha pande nne cha Moscow kuhusu Syria pamoja na matokeo yake
May 11, 2023 07:54Kikao cha kwanza cha pande nne cha Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia, Syria, Uturuki na Iran kuhusiana na Syria kilifanyika Jumatano ya jana huko Moscow mji mkuu wa Rusia.
-
Saudi Arabia na Syria zatangaza uamuzi wa kurejesha uhusiano wa kidiplomasia
May 10, 2023 03:07Saudi Arabia na Syria zimetangaza uamuzi wa kurejesha uhusiano wao wa kidiplomasia, baada ya kupita zaidi ya muongo mmoja tangu Riyadh ilipochukua hatua ya kuvunja uhusiano huo na kuanza kuunga mkono makundi ya kigaidi yaliyokuwa yakipambana na serikali ya Damascus.