-
Mgogoro wa Syria na ukwamishaji wa viongozi wa Marekani
Oct 08, 2016 02:50Marekani imekuwa ikifanya njama mbalimbali za kukwamisha jitihada za kuutafutia ufumbuzi wa kisiasa mgogoro wa nchi ya Kiarabu ya Syria, suala ambalo limewafanya maafisa wa Umoja wa Mataifa washindwe kuvumilia na kuamua kuilalamikia Marekani kwa njama zake hizo.
-
Russia yaipatia Syria ngao ya ulinzi ya makombora ya S 300 kwa ajili ya kujilinda
Oct 04, 2016 11:36Duru za habari zimeripoti kujiri makabidhiano ya ngao ya ulinzi ya makombora ya S 300 kati ya Russia na serikali halali ya Syria. Viongozi wa Marekani wametangaza kuwa, tayari Russia imeikabidhi ngao hiyo ya makombora serikali ya Damascus.
-
Raia wa Syria watumiwa kama ngao ya binadamu
Oct 03, 2016 23:27Raia zaidi ya 100 wameuawa huko Syria katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.
-
Magaidi wazidi kuangamizwa katika maeneo tofauti ya Syria
Oct 03, 2016 03:55Habari kutoka nchini Syria zinasema kuwa, makumi ya magaidi wanaendelea kuuawa katika mashambulizi ya jeshi la Syria na ndege za Russia.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa katika hujuma Aleppo Syria
Oct 01, 2016 04:42Habari kutoka Syria zinasema kwa akali watu 18 wameuwa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika hujuma ya maroketi iliyotekelezwa na makundi ya kitakfiri katika eneo la makazi ya watu mjini Aleppo.
-
Sisitizo la Iran la kuendelea kuiunga mkono Syria katika kupambana na ugaidi
Sep 28, 2016 09:24Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaitakidi kuwa kulindwa umoja, mshikamano na ardhi yote ya nchi zote za Mashariki ya Kati ikiwemo Syria ni suala la msingi. Aidha ni jukumu lake kutoa msaada katika kupambana na ugaidi na kurejesha amani na usalama nchini Syria na kwamba kubadilishwa mipaka ya nchi hiyo hakuwezi kamwe kuwa na maslahi kwa eneo hili.
-
Nasrallah: Uwahhabi ni hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni
Sep 27, 2016 10:38Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, amesema anaitazama itikadi ya misimamo mikali ya Uwahhabi kuwa hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Russia yakosoa vikali matamshi ya Marekani na Magharibi katika Umoja wa Mataifa
Sep 26, 2016 11:02Russia imekosoa matamshi yaliyotolewa na Mabalozi wa Marekani, Uingereza na Ufaransa katika Umoja wa Mataifa kwa mashambulizi ya jeshi la Russia katika ngome za makundi ya kigaidi huko Syria.
-
Madola ya Magharibi yanatumia vibaya hali ya kibinadamu Syria
Sep 25, 2016 04:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Walid al-Muallem amekosoa baadhi ya madola ya Magharibi na Mashariki ya Kati kwa kutumia vibaya masaibu ya kibinadamu ya Wasyria kufikia malengo yao ya kisiasa.
-
Obama ampigia magoti Rais Assad, kufuatia shambulio la ndege za US huko Syria
Sep 24, 2016 11:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, Rais Barack Obama wa Marekani amemuomba radhi Rais Bashar al-Assad wa Syria kufuatia shambulio la ndege za nchi hiyo dhidi ya maeneo ya jeshi la Syria hivi karibuni.