Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Russia yasisitiza udharura wa Syria kurejeshewa uanachama wake katika Arab League

    Russia yasisitiza udharura wa Syria kurejeshewa uanachama wake katika Arab League

    Apr 12, 2021 22:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesisitiza udharura wa Syria kurejeshewa uanachama wake katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.

  • Lebanon yaikosoa Israel kutumia anga yake kuishambulia Syria

    Lebanon yaikosoa Israel kutumia anga yake kuishambulia Syria

    Apr 10, 2021 07:59

    Lebanon imekosoa vikali kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel kutumia anga ya hiyo ya Kiarabu kutekeleza mashambulio ya makombora dhidi ya Syria.

  • Amir Abdolahian: Iran itaendelea kuiunga mkono Syria kwa nguvu zote

    Amir Abdolahian: Iran itaendelea kuiunga mkono Syria kwa nguvu zote

    Apr 09, 2021 03:44

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, Tehran itaendelea kuiunga mkono kwa nguvu zote serikali ya Syria.

  • Iraq na Syria zaendelea na mazungumzo kuhusu kurudi nyumbani wakimbizi

    Iraq na Syria zaendelea na mazungumzo kuhusu kurudi nyumbani wakimbizi

    Apr 02, 2021 02:04

    Nchi mbili za Iraq na Syria zinaendelea na mazungumzo baina yao kuhusu namna ya kuwarejesha makwao wakimbizi wa nchi hizo mbili waliokimbilia katika nchi hizo.

  • Katibu Mkuu wa UN: Wasyria 9 kati ya 10 wanaishi kwenye umasikini

    Katibu Mkuu wa UN: Wasyria 9 kati ya 10 wanaishi kwenye umasikini

    Mar 31, 2021 02:06

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa wafadhili kusaidia kushughulikia mahitaji yanayoongezeka na kuongeza ahadi za kifedha na kibinadamu kuwasaidia Wasyria na kupunguza mzigo mkubwa wa kifedha wa nchi ambazo zinahifadhi wakimbizi.

  • Russia: Marekani ingali inaiba mafuta na ngano ya Syria

    Russia: Marekani ingali inaiba mafuta na ngano ya Syria

    Mar 30, 2021 22:33

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa, Marekani inaendelea kuiba na kutorosha mafuta na ngano ya Syria.

  • Takht-Ravanchi: Vikwazo vinazidisha mgogoro wa Syria

    Takht-Ravanchi: Vikwazo vinazidisha mgogoro wa Syria

    Mar 30, 2021 03:38

    Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa, vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Syria ni hatua yenye madhara na inayozidisha tu mgogoro wa nchi hiyo na kuwazidishia maumivu wananchi wa nchi hiyo ambayo wanataabika na matatizo mengine mbalimbali kama janga la maambukizi ya corona.

  • Wanajeshi vamizi wa Marekani wanapora ngano ya Syria

    Wanajeshi vamizi wa Marekani wanapora ngano ya Syria

    Mar 28, 2021 06:33

    Wanajeshi vamizi wa Marekani wamepora malori 38 ya ngano ya Syria iliyokuwa katika maghala huko Tal Alou katika mkoa wa Hasaka kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Makumi wauawa na kujeruhiwa huko Halab Syria katika mashambulizi ya magaidi wanaoungwa mkono na Uturuki

    Makumi wauawa na kujeruhiwa huko Halab Syria katika mashambulizi ya magaidi wanaoungwa mkono na Uturuki

    Mar 22, 2021 03:48

    Makumi ya watu wameuawa na wengine kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora yaliyofanywa akatika baadhi ya maeneo ya mji wa Halab huko Syria na magaidi wenye silaha wanaongwa mkono na Uturuki.

  • Jeshi la Syria lazima tena shambulio la makombora la Israel

    Jeshi la Syria lazima tena shambulio la makombora la Israel

    Mar 17, 2021 04:00

    Kwa mara nyingine tena, Jeshi la anga la Syria limekabiliana na shambulizi la makombora la utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Rif Dimashq, viungani mwa mji mkuu Damascus usiku wa kuamkia leo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS