-
Marekani yatuma wanajeshi wake katika mpaka wa Iraq na Syria
Sep 21, 2018 23:34Duru za Iraq zimearifu kuwa Marekani imetuma wanajeshi wake karibu na kivuko cha al Qaim katika mpaka wa Iraq na Syria.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Mashambulizi ya Israel nchini Syria hayavumiliki tena
Sep 19, 2018 23:22Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mashambulizi ya mara kwa mara ya utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Syria hayavumiliki tena na inabidi yakomeshwe.
-
Russia: Uchokozi wa Israel wa kutuulia watu wetu Syria lazima utajibiwa
Sep 19, 2018 23:16Mbali na Rais Vladimir Putin na viongozi wengine mbalimbali wa kiserikali wa Russia kusisitizia wajibu wa kujibiwa mauaji yaliyofanywa na Israel dhidi ya wanajeshi wa nchi hiyo huko Syria, mkuu wa akademia ya masuala ya jeopolitiki ya Russia naye ametilia mkazo msimamo huo.
-
Maafikiano ya Sochi na uungaji mkono wa Iran kwa utumizi wa diplomasia kutatua kadhia ya Idlib
Sep 19, 2018 09:48Makubaliano yaliyofikiwa mjini Sochi kati ya Russia na Uturuki kuhusu kadhia ya eneo la Idlib lililoko kaskazini magharibi mwa Syria baada ya kikao kilichofanyika mjini Tehran kati ya marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki yamekaribishwa na kuungwa mkono na Iran. Maafikiano hayo ni ishara ya mwendelezo wa njia athirifu za kidiplomasia.
-
Putin: Operesheni za anga za Israel zinakiuka uhuru wa kujitawala Syria
Sep 19, 2018 03:22Rais Vladimir Putin wa Russia amesema operesheni za anga za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika anga ya Syria ni ukiukaji wa mamlaka na kujitawala serikali halali ya sasa ya Damascus. Putin amesema hayo huku mgogoro kuhusu ajali ya kutunguliwa ndege ya Russia katika anga ya Syria wakati wa shambulio la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nchi hiyo Kiarabu ukiendelea kutokota.
-
Russia: IAEA haina ushahidi wowote wa kuitia hatiani Syria
Sep 17, 2018 23:27Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amesema kuwa, kutoa madai ya uongo kuhusu Syria kunauondolea itibari wakala huo wa atomiki.
-
Russia: Magaidi wapeleka Idlib matanki ya gesi ya kemikali
Sep 16, 2018 03:07Msemaji wa kituo cha usitishaji vita cha Russia huko Syria amearifu kuwa magaidi wanajiandaa kuanzisha chokochoko dhidi ya raia wa Syria kwa kutumia mada za kemikali na kwamba tayari wamepelekea matanki yenye gesi ya klorini katika eneo la kiraia katika mkoa wa Idlib magharibi mwa Syria.
-
Walid al Mualim: Marekani inafuatilia malengo ya Israel nchini Syria
Sep 10, 2018 23:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa lengo la Marekani ni kudhibiti shughuli zote za Syria kwa maslahi ya Israel.
-
Iran katu haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora
Sep 09, 2018 23:07Mshauri wa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi Yote ya Iran katika masuala ya viwanda vya kijeshi amesisitiza kuwa: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora."
-
Harakati za kijeshi za muungano wa Kimarakeni nchini Syria
Sep 09, 2018 07:25Ijumaa usiku jeshi la Marekani lilitangaza kwamba limeendesha maneva ya askari wa muungano wa kijeshi unaoongozwa na nchi hiyo huko Syria na ambao unadaiwa kuwa dhidi ya magaidi wa Daesh.