-
Trump atoa vitisho vikali dhidi ya BRICS kwa hofu ya kuanzishwa sarafu itayoshindana na US $
Dec 01, 2024 06:09Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametoa vitisho vikali kwa mataifa wanachama wa jumuiya ya BRICS akisema yatakabiliwa na ushuru wa 100% kwa bidhaa zao ikiwa yatajaribu kuanzisha sarafu ya akiba ili kushindana na sarafu ya dola ya Marekani.
-
Ombi la serikali ya China kwa watu wa Taiwan
Jan 13, 2024 02:47Serikali ya China imewataka watu wa kisiwa cha Taiwan kutompigia kura William Lai, mgombea mkuu wa uchaguzi wa urais katika kisiwa hicho.
-
China yaijuza Marekani kwamba 'haitalegeza msimamo katu' juu ya Taiwan
Jan 10, 2024 06:19China imeapa kutekeleza bila kuyumbayumba msimamo wake wa kuiunganisha tena Taiwan na ardhi kuu ya nchi hiyo na kuitaka Marekani iache kukipatia silaha kisiwa hicho na kupunguza harakati zake katika Bahari ya China Kusini.
-
China yayawekea vikwazo makampuni matano ya Marekani kwa kuiuzia silaha Taiwan
Jan 08, 2024 06:39Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetangaza vikwazo dhidi ya makampuni matano ya Marekani kwa kuiuzia Taiwan silaha.
-
Beijing yaionya Taipei huku uchaguzi ukikaribia kufanyika katika kisiwa cha Taiwan
Jan 05, 2024 07:44Huku uchaguzi mkuu wa rais na bunge ukikaribia kufanyika huko Taiwan tarehe 13 January, kiongozi wa ngazi ya juu ya China ameutaja uchaguzi huo kuwa chaguo kati ya vita na amani.
-
China: Haiwezekani Taiwan kupewa uanachama wa UN
Sep 16, 2023 04:43Mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa amesema jitihada za maajinabi zinazoendelea za eti kutafuta uhuru wa Taiwan zitafeli.
-
China yaapa kuchukua 'hatua za utumiaji nguvu' sambamba na makamu wa rais wa Taiwan kuwasili Marekani
Aug 13, 2023 14:01China imeahidi kuchukua "hatua madhubuti na za nguvu" kulinda mamlaka yake baada ya Makamu wa Rais wa Taiwan William Lai kuwasili Marekani kwa ziara fupi.
-
Korea Kaskazini yakosoa msaada wa silaha za Marekani kwa Taiwan
Aug 04, 2023 07:51Korea Kaskazini imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuipa Taiwan msaada wa silaha wa mamilioni ya dola ikisisitiza kuwa, Washington inakitumia kisiwa hicho kinachojitawala kushadidisha taharuki na kuchochea moto wa vita katika eneo.
-
China yakosoa mauzo mapya ya silaha za Marekani kwa Taiwan
Jul 05, 2023 09:59China imekosoa vikali mpango mpya wa serikali ya Marekani wa kuiuzia Taiwan silaha zenye thamani ya mamilioni ya dola, ikisisitiza kuwa mauzo hayo yanakiuka kanuni ya "China Moja".
-
China yatuma meli na ndege zaidi za kivita karibu na Taiwan kwa siku ya pili baada ya mkutano wa Tsai-McCarthy
Apr 08, 2023 02:26Maafisa wa Taiwan walisema jana Ijumaa kwamba, China imetuma meli na ndege zaidi za kivita karibu na kisiwa hicho kwa siku ya pili, wakati mvutano ukiendelea kutokota kati ya Beijing na kisiwa hicho kinachojitawala kufuatia mkutano uliofanyika kati ya Rais Tsai Ing-wen wa kisiwa hicho na Spika wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy.