-
Taliban: Hatutaongeza muda wa siku ya mwisho ya askari wa kigeni kuondoka Afghanistan
Aug 24, 2021 02:47Taliban imetoa onyo kwa Marekani ikisisitiza kuwa, siku ya mwisho iliyoainishwa kwa askari wa nchi hiyo kuondoka Afghanistan ni "mstari mwekundu" kwa kundi hilo na kwamba kurefushwa kwa muda wa zoezi hilo kutakuwa na "matokeo mabaya".
-
Washington Examiner: Joe Biden anakimbia Afghanistan
Aug 21, 2021 07:12Mtandao wa habari wa Washington Examiner umejadili kadhia ya Afghanistan kwa makala yenye kichwa cha habari: "Joe Biden anakimbia Afghanistan" na kusema, Marekani imejidanganya na kuona ndoto huko Afghanistan.
-
Ripoti mpya kuhusu matokeo ya vita vya miaka 20 vya Marekani huko Afghanistan
Aug 20, 2021 00:04Taasisi ya Watson Institute for International and Public Affairs katika Chuo Kikuu cha Brown imetangaza katika ripoti yake mpya kwamba, Marekani imetumia dola trilioni 2.26 katika vita vyake vya miaka 20 huko Afghanistan ambavyo vilianza msimu wa mapukutiko wa mwaka 2001.
-
Taliban: Imam Hussein AS ndiye aliyejitoa mhanga mkubwa zaidi katika historia ya Uislamu
Aug 19, 2021 03:18Mkuu wa kamati ya utamaduni ya kundi la Taliban amesema, kundi hilo halina mgongano wala uadui na Mashia na akasisitiza kwamba Imam Hussein AS ndiye aliyejitoa mhanga mkubwa zaidi katika historia ya Uislamu.
-
Kuanza duru mpya katika historia ya kisiasa ya Afghanistan
Aug 17, 2021 11:03Baada ya wanamgambo wa Taliban kudhibiti mji mmoja baada ya mwingine na hatimaye kuudhibiti mji mkuu Kabul baada ya Rais Muhammad Ashraf Ghani kuikimbia nchi, sasa kumeanza duru mpya katika historia ya kisiasa ya nchi hiyo.
-
Khatibzadeh: Iran itatumia uwezo wake kuleta maelewano Afghanistan
Aug 17, 2021 04:02Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatumia uwezo wake wote kwa ajili ya kuhimiza mazungumzo na maelewano nchini Afghanistan.
-
Taliban: Tutaunda utawala wa Kiislamu utakaoshirikisha Waafghani wengine pia
Aug 16, 2021 13:12Msemaji wa kundi la Taliban ametaka iundwe serikali ya Kiislamu nchini Afghanista inayoendana na mazingira itakayojumuisha na Waafghani wengine pia.
-
Johnson akosoa uamuzi wa Marekani kuhusu Afghanistan
Aug 15, 2021 10:01Sambamba na kundi la Taliban kuendelea kuteka maeneo zaidi huko Afghanistan na kuongezeka wasiwasi kuhusu mustakbali wa nchi hiyo, Boris Johnson, Waziri Mkuu wa Uingereza alisema Ijumaa kwamba hali ya Afghanistan ni mbaya mno na kwamba inatokana na uamuzi wa Rais Joe Biden wa kuondoa askari wa Marekani nchini humo.
-
NATO: Ikiwa Taliban itaidhibiti Afghanistan kwa njia ya kijeshi haitatambuliwa kimataifa
Aug 14, 2021 07:44Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO ametangaza kuwa, ikiwa kundi la Taliban litaidhibiti Afghanistan yote kupitia mashambulio yake ya kijeshi halitatambuliwa kimataifa.
-
Taliban wasema wako tayari kushiriki kwenye serikali ya mpito ya Afghanistan
Aug 13, 2021 02:24Kundi la Taliban limetangaza kuwa liko tayari kushiriki katika serikali ya mpito ya Afghanistan.