-
Kuvunjwa Bunge la Tunisia
Apr 01, 2022 07:42Rais Kais Saied wa Tunisia amelivunja Bunge la nchi hiyo kufuatia kushtadi mivutano ya kisiasa nchini humo.
-
Rais Kais Saied wa Tunisia avunja Bunge, asema kuna jaribio la mapinduzi
Mar 31, 2022 03:12Rais wa Tunisia, Kais Saied jana Jumatano alitangaza kuvunja Bunge muda mfupi baada ya bunge hilo kupitisha sheria ya kufuta hatua za dharura zilizotangazwa na kiongozi huyo majira ya joto mwaka jana.
-
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tunisia anusurika kuuawa na magaidi
Mar 27, 2022 08:00Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tunisia, Taoufik Charfeddine amenusurika kuuawa katika shambulio linaloaminika kuwa la kigaidi.
-
Miili 20 ya wahajiri yaopolewa baharini pwani ya Tunisia
Mar 20, 2022 07:40Wapiga mbizi na maafisa usalama wa Tunisia jana Jumamosi waliopoa miili ya watu wengine wanane baada ya boti yao kuzama katika pwani ya nchi hiyo, na kufikisha idadi ya maiti zilizoopolewa hadi sasa kufikia 20.
-
Wanachama wa genge moja la kigaidi watiwa mbaroni nchini Tunisia
Mar 16, 2022 13:54Askari usalama nchini Tunisia wametangaza kuwa, wamefanikiwa kusambaratisha mtandao mmoja wa kigaidi ujulikanao kwa jila la "al Muwahhidun" katika miji wa Tataouine na Soussa ya kusini mwa mji mkuu Tunis.
-
Hatua ya Rais wa Tunisia kurefusha hali ya hatari yapokewa kwa hisia tofauti
Feb 20, 2022 02:49Wananchi wa Tunisia wamegawanyika baada ya Rais Kais Saied wa nchi hiyo kutangaza kurefusha muda wa hali ya hatari katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika hadi mwishoni mwa mwezi Disemba mwaka huu wa 2022.
-
Kurefushwa hali ya hatari nchini Tunisia
Feb 19, 2022 12:05Rais wa Tunisia, Kais Saied, amerufusha muda wa hali ya hatari nchini humo hadi mwishoni mwa huu wa 2022, licha ya maandamano yanayoendelea kufanyika kote nchini humo.
-
Rais wa Tunisia aanzisha Baraza Kuu la Mahakama la muda
Feb 13, 2022 07:51Rais Kasi Saied wa Tunisia ametangaza kuanzisha Baraza Kuu la Idara ya Mahakama la muda baada ya kulivunja lile lililokuwepo.
-
Kuvunjwa kwa Baraza Kuu la Mahakama la Tunisia, hatua ya kuongeza mamlaka ya Kais Saied
Feb 08, 2022 04:36Rais wa Tunisia Kais Saied amesema ameamua kulivunja Baraza Kuu la Mahakama nchini humo katika hali ya kutatanisha ambayo imeibua wasiwasi kuhusu uhuru wa mahakama.
-
Le Point: Tunisia inaporomoka kuelekea kuzimu
Feb 08, 2022 02:45Nchi ya Tunisia ambayo miaka 11 iliyopita, ilisifiwa kwa kuwa kinara wa demokrasia kati ya nchi za Kiarabu zilizokumbwa na wimbi la mapinduzi ya wananchi na kupewa hadhi ya kuwa mgeni wa heshima katika mkutano wa G7, sasa inaonekana kufifia na kuorodheshwa kati ya nchi za kifisadi.