-
Operesheni ya kijeshi ya jeshi la Libya yamalizika katika mpaka wa Tunisia
Jan 09, 2018 04:45Baraza la uongozi la serikali ya umoja wa kitaifa nchini Libya limetangaza habari ya kumalizika operesheni za kijeshi za nchi hiyo katika eneo la Abu Kammash karibu na kivuko cha Ras Jdir kwenye mpaka wa Libya na Tunisia.
-
Tunisia yapiga marufuku ndege za UAE kutua nchini humo
Dec 25, 2017 06:47Tunisia imetangaza kupiga marufuku ndege za Shirika la Ndege la Emirates la Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE kutua nchini humo. Uamuzi huo umechukuliwa baada ya UAE kuwapiga marufuku wanawake wa Tunisia kuingia UAE au kupitia katika ardhi ya nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi.
-
Maandamano ya kuwapinga Wazayuni yaendelea nchini Tunisia
Dec 24, 2017 15:43Wananchi wa Tunisia kwa mara nyingine wameshiriki katika maandamano makubwa ya kupinga jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wasiwasi na mashauriano ya majirani wa Libya kuhusiana na kuendelea mgogoro wa nchi hiyo
Dec 20, 2017 02:35Juhudi za kieneo na kimataifa zenye lengo la kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa Libya zinaendelea kushuhudiwa huku hatari ya kuenea ugaidi na ukosefu wa usalama ikizitishia pakubwa nchi za eneo la kaskazini mwa Afrika.
-
Misri, Algeria, Tunisia zalaani uamuzi wa Trump kuhusu Quds
Dec 07, 2017 07:35Nchi za Kiafrika za Misri, Tunisia na Algeria zimetoa taarifa tofauti za kulaani uamuzi wa rais wa Marekani, Donald Trump wa kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni.
-
Wabunge wa Tunisia wakosoa taarifa ya Arab League dhidi ya Iran, Hizbullah
Nov 24, 2017 16:35Kundi la Wabunge wa Tunisia limekosoa taarifa iliyotolewa hivi karibuni na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu chini mashinikizo ya Saudi Arabia dhidi ya harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Qassemi: Hatujaiomba Tunisia iwe mpatanishi kwenye mgogoro wa Iran na Saudia
Nov 23, 2017 03:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amepuuzilia mbali madai kuwa Jamhuri ya Kiislamu imeiomba Tunisia iwe mpatanishi katika mgogoro kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Saudi Arabia.
-
Mkataba wa kimataifa wa kulinda haki za waandishi habari wasainiwa Tunisia
Nov 21, 2017 02:39Mkataba mpya wa kimataifa wa kulinda haki za waandishi wa habari umetiwa saini huko Tunisia.
-
Algeria: Magaidi wa Daesh wanakusudia kuweka kambi katika nchi za kaskazini mwa Afrika
Nov 16, 2017 07:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria ametahadharisha kwamba, wanachama wa kundi hatari la kigaidi na kitakfiri la Daesh, wanakusudia kuweka kambi na kujizatiti katika nchi za kaskazini mwa Afrika.
-
Tunisia yaikosoa Saudia kwa hatua zake za kuzusha migogoro katika nchi nyingine
Nov 12, 2017 07:49Waziri Mkuu wa Tunisia ametoa radiamali yake kutokana na hatua ya kuibua migogoro ya Saudia katika nchi nyingine hususan Lebanon na kuonyesha matarajio kwamba mzozo huo hautapelekea kutokea vita kati ya nchi mbili.