-
Mtikisiko wa kiuchumi waifanya Saudia ianze kuuza hisa za Aramco
Dec 25, 2016 04:34Saudi Arabia imetangaza mpango wa kuanza kuuza karibu nusu ya hisa za shirika kubwa la mafuta nchini humo Aramco, ikiwa ni katika juhudi za kupunguza nakisi ya bajeti ya utawala huo.
-
Nigeria yatilia mkazo ustawi na maendeleo ya kiuchumi magharibi mwa Afrika
Dec 20, 2016 11:07Rais wa Nigeria ametilia mkazo ustawi na maendeleo ya kiuchumi kwa maslahi ya nchi za eneo la Magharibi mwa Afrika.
-
Kikao cha nne cha viongozi wa Kiarabu na Kiafrika na changamoto zake
Nov 25, 2016 02:29Kikao cha nne cha pamoja baina ya viongozi wa Kiarabu na Kiafrika kimefanyika katika anga ya kushadidi tofauti na mivutano ya kisiasa baina ya pande mbili.
-
IMF: Ukuaji wa uchumi katika nchi za chini ya jangwa la Sahara kupungua
Oct 27, 2016 01:53Mfuko wa Fedha Duniani IMF umesema ukuaji wa uchumi katika nchi za eneo la chini ya jangwa la Sahara barani Afrika unatazamiwa kupungua kwa kiasi kikubwa ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka 20.
-
UN: Mzunguko wa pesa haramu watishia uchumi wa Afrika
Jul 26, 2016 22:12Kamisheni ya Uchumi wa Afrika ya Umoja wa Mataifa (UNECA) imetahadharisha kuwa, mzunguko wa pesa haramu katika akthari ya nchi za Afrika unatishia ukuaji wa uchumi wa bara hilo.
-
Serikali: Vikwazo vimesababisha mgogoro wa kiuchumi Zimbabwe
Jul 17, 2016 11:24Serikali ya Zimbabwe imelaumu vikwazo vya kimataifa na kusema kuwa ndiyo sababu kuu ya mgogoro wa kiuchumi unaoshuhudiwa nchini humo hivi sasa.
-
Mchambuzi wa US: Saudia inaelekea kukumbwa na mgogoro wa kifedha
Mar 09, 2016 04:32Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya siasa wa Marekani amesema Saudi Arabia karibuni hivi itatumbukia katika mgogoro mkubwa wa kifedha.