-
Maandamano ya kutaka kufukuzwa askari wa Ufaransa yashtadi Niger
Sep 02, 2023 07:39Maelfu ya wananchi wa Niger wamefanya maandamano katika mji mkuu Niamey, kuonyesha uungaji mkono wao kwa serikali ya kijeshi inayotawala hivi sasa, na kutaka kufukuzwa nchini humo wanajeshi na wanadiplomasia wa Ufaransa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Polisi wa Niger wanaendelea kuzingira ubalozi wa Ufaransa
Sep 01, 2023 23:14Polisi nchini Niger wanaendelea kuzingira majengo ya ubalozi wa Ufaransa mjini Niamey, huku Baraza la Kijeshi linalotawala nchi hiyo likichukua uamuzi wa kupiga marufuku shughuli za mashirika ya kimataifa na yasiyo ya kiserikali.
-
Tarehe ya mwisho iliyotolewa na Niger kwa askari wa Ufaransa kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo
Aug 31, 2023 23:33Baraza la Taifa kwa ajili ya Ulinzi wa Wat'ani, (National Council for the Safeguard of the Homeland, CNSP) ambalo liliundwa hivi majuzi na viongozi wa mapinduzi ya kijeshi nchini Niger, limeitaka Ufaransa ihakikishe kuwa ifikapo Septemba 3, iwe imeshaondoa vikosi vya jeshi lake vilivyoko nchini humo.
-
Niger yawataka wanajeshi wa mkoloni Ufaransa waondoke nchini humo haraka
Aug 31, 2023 03:23Serikali ya Niger imetoa amri kwa wanajeshi wa mkoloni kizee wa Ulaya yaani Ufaransa wafungashe virago na toke nchini humo haraka.
-
Kupigwa marufuku vazi la Abaya katika shule za umma nchini Ufaransa
Aug 29, 2023 22:56Katika miaka ya hivi karibuni, nchi za Magharibi zimeonyesha sera za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu katika nyanja mbalimbali za kisiasa na kijamii.
-
Hatua ya Burkina Faso ya kufuta mikataba ya kikoloni ya Ufaransa
Aug 16, 2023 22:59Rais Ibrahim Traoré wa Burkina Faso ametangaza kuwa nchi yake imefuta mikataba kadhaa iliyokuwa imesaini na serikali ya Ufaransa, ambayo hadi sasa imekuwa na sura ya ukoloni na ya kujali maslahi ya upande mmoja.
-
Mali yasitisha kutoa huduma ya viza kwa raia wa Ufaransa
Aug 11, 2023 04:24Nchi ya Mali imesitisha kutoa viza kwa raia wa Ufaransa kwa muda usiojulikana kuanzia jana Alhamisi.
-
Viongozi wa mapinduzi Niger waishutumu Ufaransa kwa kukiuka anga ya nchi hiyo
Aug 09, 2023 23:25Baraza la kijeshi la viongozi wa mapinduzi nchini Niger limeishutumu Ufaransa kuwa imekiuka anga iliyofungwa ya nchi hiyo.
-
Maseneta wa Ufaransa wakosoa sera ya Macron barani Afrika
Aug 09, 2023 08:10Maseneta karibu 100 wa Ufaransa wamekosoa vikali sera za Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo barani Afrika na kusisitiza kuwa, sera hizo zimechochea misimamo hasi dhidi ya Ufaransa katika nchi za bara hilo.
-
Times: Mapinduzi ya Niger yameonyesha kushindwa kwa sera mbovu za Ufaransa barani Afrika
Aug 08, 2023 11:45Gazeti la Times linalochapishwa nchini Uingereza limekosoa kile lilichoeleza kuwa ni sera za "kutapatapa" za Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, katika makoloni ya zamani ya Ufaransa barani Afrika.