-
Wanigeria waandamana kupinga uingiliaji wa mambo ya ndani wa Ufaransa
Dec 10, 2019 04:29Wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano nje ya ubalozi mdogo wa Ufaransa mjini Lagos, kupinga na kulalamikia hatua ya Paris ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Kuanza duru mpya ya maandamano ya upinzani nchini Ufaransa
Dec 08, 2019 07:45Uamuzi mpya wa serikali ya Ufaransa wa kuifanyia marekebisho sheria ya kustaafu, umeibua wimbi jipya la maandamano na migomo nchini humo ambavyo vilianza tangu siku ya Alkhamisi iliyopita.
-
Sharti la serikali ya Ufaransa kuzisaidia kijeshi nchi za magharibi mwa Afrika
Dec 05, 2019 04:31Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amewataka viongozi wa magharibi mwa Afrika kupinga kuongezeka hisia dhidi ya Ufaransa katika eneo iwapo wanataka Paris iendelee na oparesheni zake dhidi ya makundi ya wanamgambo wenye silaha.
-
Kuongozeka mivutano ya kisiasa baina ya Ufaransa na Uturuki kuhusiana na shirika la NATO
Nov 30, 2019 23:34Matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuhusu udhaifu wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) na kufananisha hali ya shirika hilo la kifo cha ubongo yamekabiliwa kwa hisia kali na baadhi ya wanachama wa jumuiya hiyo ikiwemo Uturuki. Matamshi hayo yameuzusha mivutano ya kisiasa baina ya Paris na Ankara.
-
Macron: Siombi samahani, nakariri tena kwamba NATO imekufa ubongo
Nov 29, 2019 04:38Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa kauli yake kwamba Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) limepatwa na kifo cha ubongo ilipiga kengele ya hatari kwa nchi wanachama na kwamba hataomba radhi kwa kutoa matamshi hayo.
-
Mousavi: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kuhusu JCPOA si ya uwajibikaji
Nov 28, 2019 08:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu matamshi yasiyo na maana na ya kutojali ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa kusema: Matamshi hayo yanadhoofisha jitihada za hivi sasa za kutekeleza kikamilifu makubaliano ya JCPOA.
-
Safari ya Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa nchini Imarati; tangazo la kuundwa muungano wa baharini
Nov 26, 2019 22:11Ufaransa imekuwa na msimamo wa kindumakuwili kuhusiana na matukio ya hivi karibuni katika Ghuba ya Uajemi hususan masuala yanayohusiana na Iran; kwani sambamba na kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Paris inataka kuchukuliwa hatua dhidi ya kile kinachoelezwa kuwa, “hatua za Iran zinazohatarisha usalama wa eneo.”
-
Watoto 700 wanalala katika barabara za mitaa ya Paris, Ufaransa
Nov 21, 2019 03:26Jumuiya 12 zinazojihusisha na watoto wasiokuwa na makazi nchini Ufaransa zimefichua kwamba, watoto wadogo 700 wanaishi pamoja na familia zao katika barabara za mitaa ya mji mkuu wa nchi hiyo, Paris.
-
Wanafunzi wa vyuo vikuu Ufaransa wajawa na ghadhabu baada ya mwanafunzi mmoja kujichoma moto
Nov 13, 2019 04:51Kitendo cha mawanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha Lyon nchini Ufaransa kujichoma moto na upuuzaji wa serikali ya Rais Emmanuel Macron kuhusiana na tukio hilo, kimewaghadhibisha mno wanafunzi wa vyuo vikuu wa nchi hiyo.
-
Maelfu ya Waislamu waandamana Ufaransa kupinga chuki dhidi ya Uislamu
Nov 11, 2019 09:18Maelfu ya watu wameshiriki maandamano katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris kulalamikia chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo.