-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na Rais wa Ufaransa
Aug 23, 2019 22:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ijumaa amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Ufaransa mjini Paris.
-
Macron: Sina matumaini yoyote na mpango wa Trump wa Muamala wa Karne
Aug 23, 2019 02:32Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa hata matumani yoyote ya kufanikiwa mpango wa Muamala wa Karne wa rais wa Marekani Donald Trump.
-
Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yafichua: Kikosi cha jeshi la Ufaransa kinamsaidia Haftar
Aug 22, 2019 22:01Maafisa wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya wamefichua kuwa kundi moja la jeshi la Ufaransa linalomsaidia jenerali mstaafu Khalifa Haftar limewajengea wapiganaji wa kiongozi huyo muasi kituo cha kurushia ndege zisizo na rubani katika bandari ya mafuta ya al Sidr huko kaskazini mwa Libya.
-
Wafaransa wataka uchunguzi ufanyike kadhia ya kujiuwa bilionea wa Kimarekani
Aug 13, 2019 07:30Mawaziri kadhaa wa Ufaransa wametaka kuanza uchunguzi nchini humo kuhusu bilionea wa Kimarekani ambaye ametajwa kuwa alikuwa akijihusisha na magendo ya kuwauza wasichana na mabinti kwa ajili ya biashara ya ngono; bilionea ambaye alikuwa akimfadhili kifedha Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Ufaransa yatahadharisha kuhusu hatua ya Marekani ya kujiondoa katika mkataba wa silaha wa INF
Aug 03, 2019 07:56Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imetangaza kuwa kujiondoa Marekani katika mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF) kunazidisha hatari kwa usalama na amani ya Ulaya.
-
Rais Rouhani: Iran ina nia ya kweli ya kuacha wazi njia zote za kulinda mapatano ya JCPOA
Jul 19, 2019 01:58Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwamba, juhudi za Paris za kuyalinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA ni muhimu na kusisitiza kuwa, Tehran ina nia ya kweli ya kuweka wazi njia zote za kuhakikisha makubaliano hayo yanalindwa.
-
Maandamano ya Vizibao Vyeusi Paris, wakimbizi wa Kiafrika wataka kupewa vibali
Jul 13, 2019 06:18Mamia ya wakimbizi wa Kiafrika wanaojulikana kwa jila la Harakati ya Vizibao Vyeusi wamefanya maandamano mjini Paris wakitaka kupewa vibali vya kuishi nchini Ufaransa.
-
Bintimfalme wa Saudia kuhukumiwa kifungo cha miezi sita Ufaransa
Jul 11, 2019 03:27Mwendesha mashtaka mkuu wa Ufaransa ametaka kutolewa hukumu ya kifungo cha miezi sita jela na faini ya yuro elfu sita dhidi ya binti wa mfalme wa sasa wa Saudi Arabia kwa kupatikana na hatia ya kufanya ukatili dhidi ya mfanyakazi aliyekuwa akikarabati nyumba yake mjini Paris.
-
Maandamano ya kupinga safari ya Meya wa Israel mjini Paris, Ufaransa
Jul 01, 2019 08:08Wanaharakati na watetezi wa haki za Wapalestina nchini Ufaransa wamefanya maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina katika mji mkuu wa nchi hiyo Paris, sambamba na kulaani safari ya Meya wa Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel, nchini humo.
-
Rouhani: Iran itatoa jibu mwafaka iwapo anga yake itahujumiwa tena
Jun 25, 2019 22:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran haifuatilii kuingia vitani na Marekani lakini itatoa jibu mwafaka iwapo anga yake itahujumiwa tena na Marekani.