Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ufyatuaji risasi

  • Tishio la ufyatuaji risasi lapelekea kufungwa shule 19 nchini Marekani

    Tishio la ufyatuaji risasi lapelekea kufungwa shule 19 nchini Marekani

    Apr 17, 2019 07:30

    Kufuatia tishio la kufyatua risasi shuleni, polisi ya Marekani imetangaza hali ya hatari katika shule 19 za jimbo la Colorado

  • Wakili wa

    Wakili wa "chinjachinja" wa Bosnia auawa kwa kupigwa risasi

    Jul 30, 2018 08:15

    Wakili aliyekuwa akimtetea Rais wa zamani wa Bosnia katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) katika kesi ya kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo ameuawa kwa kupigwa risasi mjini Belgrade.

  • Wamarekani waendelea kuuana, watu 71 wauawa kwa kupigwa risasi

    Wamarekani waendelea kuuana, watu 71 wauawa kwa kupigwa risasi

    Jul 30, 2018 04:40

    Kituo cha kuorodhesha takwimu za matukio ya ukatili wa utumiaji silaha za moto nchini Marekani, kimetangaza kwamba jumla ya watu 71 wameuawa kwa kupigwa risasi katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.

  • Ufyatuaji risasi katika kituo cha gadi ya kitaifa ya Saudi Arabia

    Ufyatuaji risasi katika kituo cha gadi ya kitaifa ya Saudi Arabia

    May 31, 2018 11:27

    Vyonzo vya habari vimetangaza kutokea ufyatuaji risasi katika mji wa Taif ulioko magharibi mwa Saudia Arabia. Ripoti zinasema kuwa watu wawili waliokuwa na silaha waliingia katika kituo cha gadi ya kitaifa kilichoko mjini hapo, baada ya kumshambulia askari usalama mmoja katika eneo hilo.

  • Marekani wazidi kutwangana risasi, 156 wauawa na kujeruhiwa masaa 48 yaliyopita

    Marekani wazidi kutwangana risasi, 156 wauawa na kujeruhiwa masaa 48 yaliyopita

    May 20, 2018 14:34

    Kituo cha kukusanya takwimu za mauaji na mashambulizi ya kutumia silaha nchini Marekani kimetangaza habari ya kuuawa na kujeruhiwa watu 156 katika kona mbalimbali za nchi hiyo inayojigamba kuwa na usalama mkubwa katika kipindi cha masaa 48 yaliyopita.

  • Mwanafunzi aua kwa kuwapiga risasi watu 10 katika shambulio dhidi ya skuli Texas, Marekani

    Mwanafunzi aua kwa kuwapiga risasi watu 10 katika shambulio dhidi ya skuli Texas, Marekani

    May 19, 2018 08:10

    Wanafunzi tisa na mwalimu wao wameuawa na wengine kumi wamejeruhiwa katika shambulio la ufyatuaji risasi lililotokea kwenye skuli ya Sante Fe iliyoko kwenye jimbo la Texas nchini Marekani.

  • Habari za kutatanisha zagubika tukio la milio ya risasi iliyosikika karibu na kasri la Mfalme wa Saudia

    Habari za kutatanisha zagubika tukio la milio ya risasi iliyosikika karibu na kasri la Mfalme wa Saudia

    Apr 22, 2018 07:59

    Baada ya kimya cha saa kadhaa cha maafisa na vyombo vya habari vya Saudi Arabia kuhusu milio mingi ya risasi iliyosikika jana usiku katika mji mkuu Riyadh, shirika rasmi la habari la nchi hiyo limedai kuwa ufyatuaji huo wa risasi uliotokea ulisababishwa na droni ndogo bandia iliyokuwa ikipaa karibu na kasri la mfalme wa nchi hiyo.

  • Sauti za risasi zasikika karibu na Ikulu ya Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Sauti za risasi zasikika karibu na Ikulu ya Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Apr 09, 2018 04:46

    Duru za usalama za Jamhuri ya Afrika ya Kati zimetangaza habari ya kutokea mapigano baina ya watu wenye silaha na askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa karibu na Ikulu ya Rais mjini Bangui.

  • Watu kadhaa wauawa Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Watu kadhaa wauawa Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Mar 21, 2018 07:43

    Wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wameripoti kuwa watu wawili wameuawa na wawili wengine kujeruhiwa katika mapigano yaliyotokea baina ya watu wenye silaha kusini mwa nchi hiyo.

  • Trump: Njia ya kuzuia mashambulizi ya shuleni US ni kuwapa silaha za moto walimu

    Trump: Njia ya kuzuia mashambulizi ya shuleni US ni kuwapa silaha za moto walimu

    Feb 22, 2018 04:36

    Rais Donald Trump wa Marekani ametoa pendekezo kwa ajili ya kuzuia msururu wa mashambulizi ya silaha za moto katika shule za nchi hiyo akisema kuwa, njia pekee ya kuzuia suala hilo ni kuwapatia silaha za moto walimu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS