-
Trump angalau ona aibu; mwanafunzi aliyebaki hai Stoneman Douglas amwambia rais wa Marekani
Feb 19, 2018 03:04Mwanafunzi wa skuli ya sekondari ya Stoneman Douglas huko Parkland, katika jimbo la Florida nchini Marekani ambayo hivi karibuni ilishuhudia bahari ya damu baada ya kijana wa miaka 19 kuivamia skuli hiyo na kufanya mauaji ya kutisha, amemtaka rais wa Marekani, Donald Trump, aone haya na ajiheshimu.
-
Kijana wa miaka 19 awapiga risasi na kuwaua watu 17 katika skuli ya Florida nchini Marekani
Feb 15, 2018 08:16Watu wasiopungua 17 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa baada ya kijana mmoja mwenye umri wa miaka 19 kufyatua risasi katika skuli moja ya sekondari ya eneo la Parkland katika jimbo la Florida nchini Marekani.
-
Marekani wazidi kuchinjana, matukio karibu 60 katika kipindi cha masaa 24, makumi wauawa
Feb 04, 2018 16:40Kituo cha kurekodi taarifa zinazohusiana na ukatili wa kutumia silaha nchini Marekani kimetangaza habari ya kutokea makumi ya vitendo vya ufyatulianaji risasi na kuawa na kujerumiwa makumi ya watu kwenye kipindi cha masaa 24 tu yaliyopita katika kona mbalimbali za nchi hiyo inayojigamba kuwa ni kiranja wa demokrasia na amani duniani.
-
Askari kadhaa wa Saudia waangamizwa mkoani Jizan kusini mwa nchi hiyo
Feb 02, 2018 08:02Askari kadhaa wa Saudi Arabia wameangamizwa katika shambulio lililofanywa na mdunguzi mmoja wa Yemen dhidi ya ngome za askari hao huko kusini mwa Saudia.
-
Watu 43 wauawa katika ufyatulianaji risasi Marekani
Jan 15, 2018 07:37Watu wasipoungua 43 wameuawa katika kipindi cha masaa 24 nchini Marekani katika matukio ya ufyatulianaji risasi nchini humo.
-
Polisi ya Ethiopia yaua watu 5 katika eneo la Oromiya
Oct 27, 2017 04:10Watu wasiopungua 5 wameuawa baada ya polisi ya Ethiopia kuwafyatulia risasi waandamanaji katika mji mmoja wa eneo lenye ghasia na machafuko ya mara kwa mara la Oromiya.
-
Watu kadhaa wauawa, kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi Las Vegas, Marekani
Oct 02, 2017 08:11Watu kadhaa wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi uliotokeo katika mji wa Las Vegas nchini Marekani.
-
Watu karibu 11 wauawa katika ufyatuaji risasi Afrika Kusini
Sep 30, 2017 16:26Polisi ya Afrika Kusini imeripoti kuwa, watu karibu 11 wameaga dunia katika mlolongo wa vitendo vya kufyatuana risasi vilivyotokea usiku wa kuamkia leo katika mji wa Cape Town wakiwemo watu wanne waliouliwa kwa kupigwa risasi kwenye baa moja.
-
Watu 35 wameuawa katika matukio ya ufyatuaji risasi nchini Marekani
Aug 14, 2017 15:17Kituo cha takwimu za matukio ya ukatili wa utumiaji silaha moto nchini Marekani kimetangaza kuwa watu 35 wameuliwa kwenye matukio ya ufyatuaji risasi katika maeneo tofauti nchini humo.
-
Wamarekani wazidi kufyatuliana risasi ovyo, 27 wauliwa katika maeneo tofauti
Jul 13, 2017 15:09Kituo cha kusajili takwimu zinazotokana na vitendo vya utumiaji silaha nchini Marekani kimeripoti kuwa, watu 27 wameuawa kwa risasi katika maeneo mbalimbali nchini humo.