-
Watu 8 wajeruhiwa katika hujuma msikitini Ufaransa
Jul 03, 2017 08:00Watu 8 wamejeruhiwa baada ya kufyatuliwa risasi mbele ya mlango ya msikiti kusini mwa Ufaransa.
-
Wamarekani wazidi kupigana risasi na kuuana ovyo
Jun 18, 2017 07:46Kanali ya habari ya Press TV imeripoti kuwa, kwa wastani, kila mwezi hutokea mashambulizi 27 makubwa ya silaha nchini Marekani.
-
Wamarekani wazidi kupigana risasi, 55 wauawa na kujeruhiwa masaa 24 yaliyopita
May 14, 2017 16:23Mauaji ya kiholela na ukatili wa kupigana risasi unaendelea kuitesa jamii ya Marekani kiasi kwamba matukio 61 yaliyotokea masaa 24 yaliyopita yamepelekea watu wasiopungua 15 kuuawa na wengine 40 kujeruhiwa kwa risasi katika majimbo tofauti ya Marekani.
-
Watu 72 wauawa katika matukio ya ufyatuaji risasi nchini Marekani
May 02, 2017 16:35Kituo cha takwimu za vitendo vya ukatili wa utumiaji silaha nchini Marekani kimetangaza kuwa watu 72 wameuliwa katika matukio ya ufyatuaji risasi yaliyotokea kwenye maeneo tofauti ya nchi hiyo.
-
Watu 6 wauawa katika ufyatuaji risasi Marekani
Apr 02, 2017 03:30Watu sita wameuawa katika kipindi cha masaa machache yaliyopita katika vitendo mbali mbali vya ufyatulianaji risasi kote Marekani.
-
Watu 25 wauawa na kujeruhiwa usiku mmoja nchini Marekani
Mar 13, 2017 07:06Watu 10 wameuawa na 15 wengine wamejeruhiwa katika mashambulizi ya usiku mmoja yaliyotokea jana usiku katika kona mbalimbali za Marekani.
-
Mauaji ya silaha za moto yaongezeka Marekani, watu 58 wauawa katika siku 2
Feb 08, 2017 07:33Kituo cha takwimu za ufyatuaji risasi nchini Marekani kimetangaza kuwa, kwa akali watu 58 wameuawa kwa kupigwa risasi katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.
-
Milio ya risasi yasikika katika mji uliokumbwa na machafuko wa Bouaké, Côte d’Ivoire
Jan 13, 2017 15:01Milio ya risasi imesikika katika mji uliokumbwa na hali ya mchafukoge wa Bouaké, huko kaskazini mwa Côte d’Ivoire.
-
Wanajeshi wazidi kuhatarisha hali ya mji wa Abidjan, Ivory Coast
Jan 07, 2017 15:55Hali ya taharuki imeendelea kutanda katika mji mkubwa wa kibiashara wa Abidjan nchini Kodiva kufuatia askari wanaopinga kiwango kidogo cha mshahara kufyatua risasi ovyo mjini humo.
-
Mwaka mpya wa 2017 na changamoto zinazoukabili ulimwengu
Jan 01, 2017 11:41Mwaka mpya wa 2017 umeanza leo sambamba na shambulizi lililofanyika katika klabu moja ya starehe mjini Istanbul huko Uturuki na kuua watu karibu 40 na kujeruhiwa makumi ya wengine.