Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ugaidi

  • Rais Rouhani: Chimbuko la ugaidi katika eneo chanzo chake ni utendaji wa Marekani

    Rais Rouhani: Chimbuko la ugaidi katika eneo chanzo chake ni utendaji wa Marekani

    Aug 28, 2016 03:19

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema chimbuko na kuenea ugaidi katika Mashariki ya Kati ni matokeo ya utendaji wa Marekani katika vita dhidi ya Iraq na Afghanistan na mgogoro wa Syria.

  • Rwanda yatahadharisha magaidi, yaua washukiwa 4

    Rwanda yatahadharisha magaidi, yaua washukiwa 4

    Aug 23, 2016 01:41

    Vyombo vya usalama nchini Rwanda vimesema havitafumbia macho yeyote atakayejaribu kujihusisha na mambo ya ugaidi kwa lengo la kuhatarisha usalama na amani ya nchi hiyo.

  • "Silaha za Marekani zinachochea ugaidi Mashariki ya Kati"

    Aug 18, 2016 09:51

    Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Kijani nchini Marekani amesema kuna haja ya kuwekewa vikwazo vya silaha nchi zinazochochea machafuko na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati na kusisitiza kuwa, Washington imechangia pakubwa hali ya mchafukoge na harakati za ugaidi katika nchi za eneo hilo.

  • Iran: Undumakuwili ndio umeupa nguvu ugaidi duniani

    Iran: Undumakuwili ndio umeupa nguvu ugaidi duniani

    Aug 09, 2016 23:19

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hujuma ya kigaidi yaliyofanywa dhidi ya hospitali katika mji wa Quetta nchini Pakistan na kusisitiza kuwa, usuasa za kindumakuwili ndizo zimekuza na kuzipa nguvu harakati za kigaidi katika kona mbalimbali za dunia.

  • Rouhani: Ugaidi kwa jina la Uislamu ni kwa faida ya maadui wa dini hii

    Rouhani: Ugaidi kwa jina la Uislamu ni kwa faida ya maadui wa dini hii

    Aug 08, 2016 03:15

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyakosoa vikali makundi ya kigaidi yanayoendeleza harakati zao za kikatili kwa jina la Uislamu na kusisitiza kuwa vitendo hivyo vinafanyika kwa maslahi na manufaa ya maadui na wanaoeneza chuki dhidi ya dini hiyo tukufu.

  • Assad akosoa waungaji mkono wa makundi ya kigaidi

    Assad akosoa waungaji mkono wa makundi ya kigaidi

    Aug 04, 2016 23:50

    Rais wa Syria amesema kuwa uungaji mkono wa baadhi ya nchi kwa suala la ugaidi ndiyo sababu ya machafuko na kuwepo ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati na ulimwenguni kwa ujumla.

  • Trump ataka kuchunguzwa ustahiki wa raia wa Ufaransa na Ujerumani

    Trump ataka kuchunguzwa ustahiki wa raia wa Ufaransa na Ujerumani

    Jul 24, 2016 08:49

    Donald Trump mgombea wa kiti cha urais kwa tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani ametaka kuchunguzwa ustahiki wa raia wa Ufaransa na Ujerumani.

  • Özdemir: Saudia ndiyo chimbuko la ugaidi wa kimataifa

    Özdemir: Saudia ndiyo chimbuko la ugaidi wa kimataifa

    Jul 24, 2016 10:40

    Mwenyekiti wa Chama cha Kijani cha Ujerumani (Green Party) amesema kuwa Saudi Arabia ndiyo chanzo cha ugaidi unaoonekana kote duniani.

  • Rezaei: Saudia inaendelea kutuma magaidi nchini Iran

    Rezaei: Saudia inaendelea kutuma magaidi nchini Iran

    Jul 24, 2016 03:27

    Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameikosoa vikali Saudi Arabia kwa kuendelea kuyaunga mkono makundi ya kigaidi na kuyatuma hapa nchini kutekeleza mashambulizi.

  • Waziri Mkuu wa Ufaransa aonya kuhusu hujuma dhidi ya Waislamu nchini humo

    Waziri Mkuu wa Ufaransa aonya kuhusu hujuma dhidi ya Waislamu nchini humo

    Jul 21, 2016 23:49

    Waziri Mkuu wa Ufaransa ameonya kuhusu hatari ya kuhujumiwa Waislamu wanaoishi nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS