Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • Uchunguzi wa maoni: Asilimia 85 ya Waganda 'hawamtaki' Museveni

    Uchunguzi wa maoni: Asilimia 85 ya Waganda 'hawamtaki' Museveni

    Dec 10, 2017 03:44

    Uchunguzi wa maoni umeonyesha kuwa asilimia 85 ya wananchi wa Uganda hawaungi mkono muswada wa kufanyia marekebisho katiba ili kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais.

  • Makumi ya wanajeshi wa Uganda waanza kuondoka Somalia

    Makumi ya wanajeshi wa Uganda waanza kuondoka Somalia

    Dec 07, 2017 11:41

    Jeshi la Ulinzi la Uganda UPDF limeanza kuondoa makumi ya wanajeshi wake wanaohudumu ndani ya Kikosi cha Askari wa Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia Amisom.

  • Besigye akamatwa tena, polisi Uganda yatumia vitoa machozi kuzima mkutano wa upinzani

    Besigye akamatwa tena, polisi Uganda yatumia vitoa machozi kuzima mkutano wa upinzani

    Nov 15, 2017 03:49

    Kwa mara nyingine tena polisi ya Uganda imemtia mbaroni kinara wa upinzani nchini humo Kizza Besigye, kwa tuhuma za kuitisha mkutano wa hadhara pasina kibali cha vyombo vya usalama.

  • Magufuli na Museveni walaani uamuzi wa ICC kuhusu Burundi

    Magufuli na Museveni walaani uamuzi wa ICC kuhusu Burundi

    Nov 11, 2017 12:24

    Marais wa Tanzania na Uganda wamelaani uamuzi ulitolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), ambayo imemuagiza Mwendesha Mashtaka wake, Fatou Bensouda kuanzisha uchunguzi wa vitendo vya kihalifu dhidi ya binadamu vilivyotokea nchini Burundi.

  • WHO yatahadharisha kuhusu ugonjwa wa virusi vya Marburg Kenya na Uganda

    WHO yatahadharisha kuhusu ugonjwa wa virusi vya Marburg Kenya na Uganda

    Nov 11, 2017 12:23

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limewatahadharisha wageni wanaotembelea Hifadhi ya Taifa ya Mt Elgon juu ya hatari ya kupatwa na ugonjwa wa virusi vya Marburg.

  • Madaktari Uganda wafanya mgomo wakidai nyongeza ya mishahara

    Madaktari Uganda wafanya mgomo wakidai nyongeza ya mishahara

    Nov 07, 2017 23:26

    Madaktari wa Uganda wameanza mgomo wa nchi nzima baad ya serikali kushindwa kutekeleza matakwa yao kuhusu nyongeza ya mshahara na kuboresha mazingira ya kazi katika hospitali za umma.

  • Wabunge wa upinzani Uganda warejesha 'hongo' ya kurefusha uongozi wa Museveni

    Wabunge wa upinzani Uganda warejesha 'hongo' ya kurefusha uongozi wa Museveni

    Oct 26, 2017 04:37

    Wabunge wanane wa upinzani wamerejesha kwenye hazina ya serikali fedha walizopokea kwa ajili ya kufanikisha muswada wa kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais.

  • Zarif aonana na Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda mjini Kampala + Picha

    Zarif aonana na Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda mjini Kampala + Picha

    Oct 25, 2017 12:30

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonana na Rais Yowezi Kaguta Museveni wa uganda mjini Kampala na pande hizo mbili zimejadiliana masuala ya pande mbili na ya kieneo na kimataifa.

  • Dakta Zarif: Wairani wanaoishi nje ya nchi ni rasilimali muhimu kwa ajili ya Iran

    Dakta Zarif: Wairani wanaoishi nje ya nchi ni rasilimali muhimu kwa ajili ya Iran

    Oct 25, 2017 01:07

    Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wairani walioko nje ya nchi ni rasilimali muhimu kwa ajili ya taifa hili.

  • Wabunge Uganda wapewa 'hongo' ya mamilioni ya pesa kurefusha uongozi wa Museveni

    Wabunge Uganda wapewa 'hongo' ya mamilioni ya pesa kurefusha uongozi wa Museveni

    Oct 24, 2017 10:11

    Msemaji wa Bunge la Uganda amesema kila Mbunge wa nchi hiyo amepewa shilingi milioni 29 za nchi hiyo, sawa na dola elfu 8 za Marekani, kufanikisha muswada wa kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS