Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • EU yakataa ombi la Museveni na Magufuli la kuiondolea vikwazo Burundi

    EU yakataa ombi la Museveni na Magufuli la kuiondolea vikwazo Burundi

    May 21, 2017 23:54

    Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania amekataa ombi la marais wa Tanzania na Uganda la kuutaka umoja huo uifutie vikwazo Burundi.

  • AU yataka msaada wa kimataifa kukabiliana na waasi wa Kikristo wa LRA

    AU yataka msaada wa kimataifa kukabiliana na waasi wa Kikristo wa LRA

    May 20, 2017 23:03

    Umoja wa Afrika umetoa wito wa msaada wa kijeshi wa kimataifa kukabiliana na waasi wa Kikrsito wa LRA kutoka Uganda walio katika misitu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati wakiongozwa na Joseph Kony.

  • Uganda kuongeza idadi ya askari wake nchini Somalia ili kupambana na ash-Shabab

    Uganda kuongeza idadi ya askari wake nchini Somalia ili kupambana na ash-Shabab

    May 16, 2017 03:45

    Serikali ya Uganda imetangaza azma yake ya kuongeza idadi ya askari wake nchini Somalia kwa lengo la kupambana na magaidi wa genge la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab kupitia operesheni ya askari wa kusimamia amani wa Umoja wa Afrika nchini humo.

  • Malango: Wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanaendelea kuingia Uganda

    Malango: Wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanaendelea kuingia Uganda

    May 10, 2017 22:58

    Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini Uganda amesema kuwa, wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanaendelea kuingia nchini humo kila siku.

  • Uganda yaanza kuondoa vikosi vyake Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Uganda yaanza kuondoa vikosi vyake Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Apr 19, 2017 10:44

    Jeshi la Ulinzi la Uganda UPDF limeanza kuondoa askari wake huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, ambao wamekuweko nchini humo tangu mwaka 2012.

  • Jeshi na waasi Sudan Kusini watuhumiana kwa mauaji ya raia

    Jeshi na waasi Sudan Kusini watuhumiana kwa mauaji ya raia

    Apr 05, 2017 11:36

    Msemaji wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) ametangaza habari ya kukimbilia nchini Uganda maelfu ya raia wa Sudan Kusini kufuatia kushadidi mapigano ndani ya nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.

  • Raia 3000 wa Sudan Kusini watorokea Uganda baada ya kushambuliwa na jeshi

    Raia 3000 wa Sudan Kusini watorokea Uganda baada ya kushambuliwa na jeshi

    Apr 04, 2017 11:30

    Raia zaidi ya elfu 3 wa Sudan Kusini wameingia katika nchi jirani ya Uganda hii leo baada ya wanajeshi wa serikali SPLA kuvamia mji wa mpakani wa Pajok, na kuanza kufanya mauaji kiholela.

  • Museveni aagiza kuwekwa CCTV Uganda baada ya kuuawa Msemaji wa Polisi

    Museveni aagiza kuwekwa CCTV Uganda baada ya kuuawa Msemaji wa Polisi

    Mar 18, 2017 04:05

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameagiza kamera za CCTV zitundikwe katika miji mikubwa na barabara zote kuu za nchi hiyo, kufuatia mauaji ya Msemaji wa Jeshi la Polisi wa nchi hiyo jana Ijumaa.

  • SAUTI, Polisi ya Uganda: Tumewatia mbaroni raia watatu wa Nigeria ambao ni wanafunzi kwa madawa ya kulevya

    SAUTI, Polisi ya Uganda: Tumewatia mbaroni raia watatu wa Nigeria ambao ni wanafunzi kwa madawa ya kulevya

    Mar 16, 2017 03:14

    Polisi nchini Uganda, imewatia mbaroni raia watatu wa Nigeria kwa kuhusishwa na utumiaji na ulanguzi wa madawa ya kulevya.

  • SAUTI: Uganda na Ethiopia zazungumzia kadhia ya migogoro ya matumizi ya maji ya mto Nile

    SAUTI: Uganda na Ethiopia zazungumzia kadhia ya migogoro ya matumizi ya maji ya mto Nile

    Mar 04, 2017 14:38

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn amefanya safari ya siku tatu nchini Uganda, ambapo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi ya juu wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS