-
Askari wa UN Kongo DR waua waasi kadhaa wa Uganda
Mar 26, 2016 03:45Kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO kikishirikiana na jeshi la nchi hiyo kimesema kimefanikiwa kuangamiza idadi kubwa ya waasi wa Uganda mashariki mwa nchi.
-
Mahakama ya ICC yathibitisha mashtaka 70 dhidi ya kamanda wa LRA
Mar 23, 2016 21:31Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC yenye makao yake mjini The Hague, Uholanzi imethibitisha mashtaka 70 yanayomkabili Dominic Ongwen, kamanda wa zamani wa kundi la waasi wa kaskazini mwa Uganda wa Lords Resistance Army (LRA).
-
Marais wa Kenya na Uganda wanakutana jijini Nairobi kujadili bomba la Mafuta
Mar 21, 2016 03:51Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na mwenzake wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni wanakutana leo jijini Nairobi kwa shabaha ya kujadili ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta kati ya nchi hizo mbili.
-
Watu 22 wameuawa katika machafuko baada ya uchaguzi Uganda
Mar 14, 2016 12:49Polisi ya Uganda imetangaza kuwa mapigano yaliyojiri magharibi mwa nchi hiyo kati ya wafuasi wa wagombea uchaguzi wanaohasimiana ambao walishiriki katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo yameuwa watu 22 na kuwajeruhi wengine 10.
-
Rais Rouhani ampongeza Rais Museveni kwa kuchaguliwa
Mar 13, 2016 03:46Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempongeza Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwa kuchaguliwa tena hivi karibuni kuiongoza nchi hiyo.
-
Museveni asema hatogawana madaraka na wapinzani
Mar 04, 2016 04:20Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema hawezi kugawana madaraka na kambi ya upinzani kwani alishinda kihalali kwenye uchaguzi mkuu wa Februari 18.
-
Watoto wa Uganda wamekuwa wakiuawa na wengine kukatwa viungo katika kipindi cha uchaguzi kwa imani za kishirikina
Feb 29, 2016 22:08Taasisi moja ya kuwahami watoto wa Kiafrika imetangaza kuwa, katika uchaguzi wa hivi karibuni nchini Uganda watoto sita waliuawa au kukatwa viungo kwa imani za kishirikina.
-
Uganda yaimarisha hatua za usalama kabla ya maandamano ya wapinzani
Feb 29, 2016 04:32Serikali ya Uganda imechukua hatua kali za usalama kabla ya maandamano yaliyopangwa kufanywa leo na kambi ya upinzani nchini humo.
-
Nchi za Afrika Mashariki kupiga marufuku mitumba
Feb 27, 2016 22:59Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki watakutana Arusha, Tanzania Jumatano ijayo kujadili upigaji marufuku uingizaji wa nguo zilizotumika au mitumba, magari yaliyotumika na bidhaa za ngozi kutoka nje ya eneo eneo hilo.
-
Mtandao wa kusajili waasi wa Uganda huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo watokomezwa
Feb 27, 2016 03:24Vikosi vya usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vimefanikiwa kuuangamiza mtandao uliokuwa ukifanya kazi ya kuwasajili vijana ili wajiunge na waasi wa Uganda wanaoendesha shughuli zao katika nchi hiyo.