-
AU yawataka raia wa Uganda kuwa watulivu baada ya uchaguzi
Feb 18, 2016 04:49Ujumbe wa waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika nchini Uganda umetoa wito kwa raia wa nchi hiyo kujitokeza kwa wingi na kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuwachagua viongozi wawapendao.
-
Wananchi wa Uganda leo wanashiriki katika uchaguzi wa Rais na Bunge
Feb 17, 2016 23:15Wananchi wa Uganda waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wanaelekea katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais na wawakilishi wao wa Bunge.
-
EC yaonya wenye nia ya kuvuruga uchaguzi Uganda
Feb 17, 2016 22:42Tume ya uchaguzi nchini Uganda imewaonya vikali wenye nia ya kuvuruga zoezi la upigaji kura linalofanyika leo (Alkhamisi) na kusisitiza kuwa, watu wa aina hiyo watachukuliwa hatua kali za kisheria. Tume hiyo pia imesisitiza kuwa uchaguzi wa leo nchini Uganda utakuwa huru na wa haki.
-
Paspoti za kielektroniki kuzinduliwa Afrika Mashariki
Feb 17, 2016 03:55Raia wa Nchi za Afrika Mashariki wataanza kutumia paspoti za kielektroniki ambazo zitatumika kurahisisha usafiri kwa wananchi wa eneo hilo.
-
Kampeni zamalizika Uganda, uchaguzi Alkhamisi
Feb 17, 2016 03:33Nchini Uganda kampeni za uchaguzi zilimalizika Jumanne huku wagombea wa viti vya urais na ubunge wakijitayarisha kwa ajili ya upigaji kura siku ya Alkhamisi.
-
Besigye: Uchaguzi ujao hautakuwa huru na wa amani
Feb 16, 2016 11:32Mgombea urais katika uchaguzi ujao nchini Uganda na mwanasiasa ambaye anahesabiwa kuwa mpinzani mkuu wa Rais Yoweri Museveni, amelaani ukandamizaji wa jeshi la polisi dhidi ya wafuasi wa kambi ya upinzani na kusema kuwa, mwenendo huo haufai.
-
Kuongezeka mivutano ya kisiasa nchini Uganda sambamba na kukaribia kufanyika uchaguzi
Feb 16, 2016 09:25Sambamba na kukaribia kufanyika uchaguzi mkuu nchini Uganda hapo keshokutwa Alkhamisi, nchi hiyo inashuhudia kuongezeka mivutano ya kisiasa.
-
Serikali yazidi kuwabana wapinzani nchini Uganda
Feb 15, 2016 11:56Huku siku chache tu zikiwa zimebakia hadi kufanyika uchaguzi mkuu wa Februari 18 nchini Uganda, polisi ya nchi hiyo leo imemtia mbaroni na baadaye kuwachia Daktari Kizza Besigye, kiongozi wa chama cha upinzani cha cha FDC. Besigye amekamatwa na polisi wakati alipokuwa anakwenda kwenye mkutano wa hadhara katika wilaya yenye shughuli nyingi, jijini Kampala.
-
Rais Yoweri Museveni: Kuna haja kwa Uganda kujitoa katika mahakama ya ICC
Feb 14, 2016 10:20Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda amesema kuwa, Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imegeuka na kuwa silaha iliyo dhidi ya bara la Afrika.
-
Rais wa Liberia yuko nchini Uganda kwa ajili ya uchaguzi
Feb 13, 2016 22:22Rais Ellien Johnson Sirleaf wa Liberia yuko nchini Uganda kufuatilia uchaguzi mkuu wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki unliopangwa kufanyika wiki ijayo Februari 18.