-
Mjadala wa ukomo wa urais nchini Uganda wapamba moto
Feb 13, 2016 03:02Kampeni za Uchaguzi Mkuu nchini Uganda zimepamba moto, huku kila mgomea akizidi kunadi sera zake.
-
Kamanda wa waasi wa LRA akamatwa CAR
Feb 11, 2016 00:06Polisi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imetangaza kuwa kamanda wa kundi la waasi kutoka Uganda la Lord's Resistance Army (LRA) aliyetiwa nguvuni nchini humo ametambuliwa kuwa ni Okot Odek ambaye ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa genge hilo hatari.
-
Mwinyi kuongoza timu ya waangalizi wa uchaguzi UG
Feb 09, 2016 11:35Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi ameteuliwa kuongoza timu ya waangalizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye uchaguzi mkuu wa Uganda wa Februari 18.
-
AU kutuma waangalizi wa uchaguzi nchini Uganda
Feb 09, 2016 04:54Umoja wa Afrika umetangaza kuwa utatuma waangalizi wa uchaguzi kufuatilia zoezi la upigaji kura nchini Uganda.
-
Museveni: Hakuna machafuko yatakayotokea Uganda wakati wa uchaguzi
Feb 06, 2016 08:03Rais Yoweri Museveni wa Uganda amewatoa hofu wananchi wa nchi hiyo akisema hakuna fujo zitakazotokea wakati au baada ya uchaguzi kama inavyodaiwa na baadhi ya wanasiasa