Mjadala wa ukomo wa urais nchini Uganda wapamba moto
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i1135-mjadala_wa_ukomo_wa_urais_nchini_uganda_wapamba_moto
Kampeni za Uchaguzi Mkuu nchini Uganda zimepamba moto, huku kila mgomea akizidi kunadi sera zake.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Feb 13, 2016 03:02 UTC

Kampeni za Uchaguzi Mkuu nchini Uganda zimepamba moto, huku kila mgomea akizidi kunadi sera zake.

Uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Februari 18, 2016  unafanyika katika hali ambayo hivi sasa mjadala kuhusu kuwekewa kikomo muda wa watu kugombea ukizidi kupamba moto.

Bofya katika picha hapo juu kusikiliza ripoti ya mwandishi wa Radio Tehran, mjini Kampala