Museveni: Hakuna machafuko yatakayotokea Uganda wakati wa uchaguzi
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i700-museveni_hakuna_machafuko_yatakayotokea_uganda_wakati_wa_uchaguzi
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amewatoa hofu wananchi wa nchi hiyo akisema hakuna fujo zitakazotokea wakati au baada ya uchaguzi kama inavyodaiwa na baadhi ya wanasiasa
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Feb 06, 2016 08:03 UTC

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amewatoa hofu wananchi wa nchi hiyo akisema hakuna fujo zitakazotokea wakati au baada ya uchaguzi kama inavyodaiwa na baadhi ya wanasiasa

Kauli ya Museveni ni majibu kwa matamshi ya Jenerali David Sejusa aliyesema kuwa Uganda itateketea endapo kiongozi huyo atatumia hila kushinda katika uchaguzi ujao. Hivi sasa Jenerali Sejusa anashikiliwa katika jela ya Luzira.

Mwandishi wa Radio Tehran mjini Kampala ametutayarishia ripoti hiyo hapo juu