-
Rais wa Iran: Syria imeibuka na ushindi licha ya vitisho na vikwazo
May 03, 2023 11:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Syria pamoja na wananchi wa nchi hiyo wamepitia masaibu na matatizo mengi na hii leo taifa hilo limeweza kuibuka ushindi.
-
Ombi la watu wa Morocco la kufutwa uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel
Apr 03, 2023 03:23Kwa mnasaba wa Machi 30, Siku ya Ardhi ya Palestina, idadi kubwa ya raia wa Morocco walijumuika katika mji mkuu, Rabat na kushiriki katika maandamano ya kupinga utawala wa Kizayuni wa Israel, ambapo kwa mara nyingine wametaka kufutwa kwa mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya serikali yao na utawala huo dhalimu.
-
Mauritania yakanusha kiuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni
Mar 15, 2023 11:06Serikali ya Mauritania imekanusha madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa inafanya nao mashauriano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela kuhusu uhusiano wa jadi na Iran
Mar 05, 2023 08:42Ivan Khel Pinto, Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesema katika mahojiano aliyofanyiwa na televisheni ya Al Mayadeen kwamba, uhusiano mzuri wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa muda mrefu, ni wa jadi na ni mkubwa.
-
Mazungumzo ya Marais wa Iran na China; sisitizo la Xi Jinping juu ya umuhimu wa uhusiano wa pande mbili
Feb 16, 2023 02:26Jumanne ya juzi tarehe 14 Februari, Rais Ebrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikutana na kufanya mazungumzo mjini Beijing na Rais Xin Jinping wa China.
-
Rais wa Iran awasili Beijing, kusaini hati 20 za makubaliano na China
Feb 14, 2023 02:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Beijing, mji mkuu wa China kwa ziara rasmi ya kikazi, kufuatia mwaliko wa Rais Xi Jinping wa nchi hiyo.
-
Velayati: Uhusiano wa Iran na Russia ni wa kina, wa kimkakati na unaostawi
Jan 05, 2023 09:50Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kwamba uhusiano wa Iran na Russia hivi sasa uko katika kiwango bora zaidi na unaendelea kustawi.
-
Biashara baina ya Iran, Afrika yapindukia dola milioni 990 ndani ya miezi 7
Dec 02, 2022 02:43Miamala ya kibiashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika imepindukia dola milioni 990 za Marekani katika kipindi cha miezi saba iliyopita.
-
Iran na Zimbabwe zatathmini njia za kuimarisha uhusiano wao
Nov 06, 2022 07:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe hapa mjini Tehran, na kujadili mikakati na njia za kupanua na kuboresha uhusiano wa pande mbili wa nchi hizi mbili.
-
Nicaragua yakata uhusiano na Uholanzi, yamzuia balozi wa Marekani
Oct 01, 2022 12:02Nicaragua imetangaza kukata uhusiano wake wa kidiplomasia na Uholanzi, muda mfupi baada ya kumzuia Balozi wa Marekani kuingia nchini humo kutokana na kile ilichokitaja kuwa ni uingiliaji wa mambo ya ndani ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini.