Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ujerumani

  • Shirika la Ujasusi la Ujerumani: Mamia ya raia wa nchi hiyo ni wanachama wa Daesh

    Shirika la Ujasusi la Ujerumani: Mamia ya raia wa nchi hiyo ni wanachama wa Daesh

    Jul 23, 2017 09:24

    Shirika la Ujasusi la Ujerumani limesema kuwa raia wa nchi hiyo 930 ni wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh.

  • Chama cha Merkel chapinga sheria ya ndoa baina ya watu wenye jinsia moja

    Chama cha Merkel chapinga sheria ya ndoa baina ya watu wenye jinsia moja

    Jul 23, 2017 02:15

    Wawakilishi wa chama cha Christian Democratic Union (CDU) kinachoongozwa na Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel wamepinga vikali hatua ya kupasishwa sheria inayoruhusu ndoa baina ya watu wenye jinsia moja nchini humo na kutangaza kuwa, watawasilisha mashtaka katika Mahakama Kuu ya nchi hiyo.

  • Rais wa Ujerumani asaini sheria ya kuruhusu ndoa za watu wa jinsia moja

    Rais wa Ujerumani asaini sheria ya kuruhusu ndoa za watu wa jinsia moja

    Jul 21, 2017 09:11

    Rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani amesaini sheria inayoruhusu kuoana watu wa jinsia moja katika nchi hiyo ya bara Ulaya.

  • Jarida la Stern: Mamia ya watoto wamenajisiwa katika Kanisa Katoliki Ujerumani

    Jarida la Stern: Mamia ya watoto wamenajisiwa katika Kanisa Katoliki Ujerumani

    Jul 19, 2017 02:29

    Jarida moja la kila wiki la Ujerumani limechapisha uchunguzi uliofanywa na mwanasheria wa nchi hiyo ambao umebaini kuwa, watoto 547 wa kundi la kwaya katika Kanisa Kuu la Dayosisi la Katoliki nchini Ujerumani, wamenajisiwa.

  • Kumalizika kikao cha viongozi wa  G20 mjini Hamburg chini ya anga ya hitilafu kubwa

    Kumalizika kikao cha viongozi wa G20 mjini Hamburg chini ya anga ya hitilafu kubwa

    Jul 09, 2017 06:59

    Kikao cha kila mwaka cha kundi la G20 kimefanyika mjini Hamburg, Ujerumani, chini ya anga ya hasira kali ya makumi ya maelfu ya wapinzani wa siasa za serikali za mataifa makubwa kuhusu maudhui tofauti kuanzia mkataba wa tabianchi hadi siasa za kibiashara na kiuchumi.

  • Hofu ya mapinduzi Saudia, watawala wakwepa mkutano wa G20

    Hofu ya mapinduzi Saudia, watawala wakwepa mkutano wa G20

    Jul 05, 2017 10:01

    Mfalme na mrithi wa kiti cha ufalme Saudi Arabia wanaripotiwa kukwepa kuhudhuria mkutano wa viongozi wa nchi za G20 huko Hamburg, Ujerumani kwa kuhofia mapinduzi nchini kwao.

  • Bunge la Ujerumani laruhusu ndoa za watu wenye jinsia moja

    Bunge la Ujerumani laruhusu ndoa za watu wenye jinsia moja

    Jul 02, 2017 03:48

    Ijumaa ya juzi Bunge la Ujerumani, Bundestag liliipasisha sheria inayoruhusu ndoa za watu wenye jinsia moja na kutambua rasmi eti haki watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja ya kulea watoto nchini humo.

  • Ujerumani: Ni lazima kushirikiana na Assad ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria

    Ujerumani: Ni lazima kushirikiana na Assad ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria

    Jun 29, 2017 02:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesisitiza kuwa ni lazima kushirikiana na serikali ya Rais Bashar Assad wa Syria ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.

  • Ukosoaji mkali wa Ujerumani kwa mkataba wa silaha wa Marekani na Saudi Arabia

    Ukosoaji mkali wa Ujerumani kwa mkataba wa silaha wa Marekani na Saudi Arabia

    May 30, 2017 23:28

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ujerumani amekosoa vikali mkataba wa silaha kati ya Marekani na utawala wa Saudi Arabia na kueleza kwamba, Washington inaenda katika mkondo usio sahihi.

  • Ushirikiano wa Ujerumani na Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen

    Ushirikiano wa Ujerumani na Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen

    May 01, 2017 08:54

    Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ambaye siku ya Jumapili alifanya safari nchini Saudi Arabia, ameitaka nchi hiyo kusimamisha mashambulio yake dhidi ya taifa la Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS