-
UN: Wasomali milioni mbili wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa
Sep 14, 2019 03:08Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, zaidi ya Wasomali milioni mbili wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa iwapo hawatapata misaada ya haraka wakati huu ambapo nchi za Pembe ya Afrika zinaposumbuliwa na ukame mkubwa ambao haujawahi kushuhudiwa eneo hilo tangu mwaka 2011.
-
Rais wa Malawi awataka wananchi kuombea mvua
Jan 20, 2018 04:39Rais Peter Mutharika wa Malawi amewataka viongozi wa serikali kuliongoza taifa hilo katika maombi maalumu ya kuomba mvua, katika hali ambayo nchi hiyo inakabiliwa na ukame na uhaba wa chakula.
-
Puntland yatangaza hali ya hatari kutokana na ukame
Dec 06, 2017 07:54Eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia limetangaza hali ya hatari kutokana na kushtadi ukame, huku likiiomba jamii ya kimataifa msaada wa chakula na maji.
-
FAO: Njaa inatishia eneo la mashariki mwa Afrika
Aug 14, 2017 12:16Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetahadharisha kuhusu ongezeko la vifo vya watu kutokana na ukame na njaa katika maeneo ya mashariki mwa Afrika.
-
Msalaba Mwekundu: Wakenya milioni 3 wanahitajia msaada wa chakula
Mar 28, 2017 16:36Shirika la Msalaba Mwekundu limesema Kenya inahitajia msaada wa dharura wa chakula ili kunusuru maisha ya watu milioni 3 wanaokabiliwa na hatari ya kufa njaa kutokana na kushtadi ukame nchini humo.
-
Tahadhari kuhusu hali ya mgogoro katika nchi za mashariki mwa Afrika
Mar 27, 2017 12:01Mgogoro wa ukame katika eneo la mashariki mwa Afrika umeulazimisha Umoja wa Mataifa kutoa onyo kuhusiana na hatari ya janga la wakimbizi kwenye eneo hilo.
-
Katibu Mkuu wa UN kuwasili leo Nairobi, mamilioni ya Wakenya wanasumbuliwa na njaa
Mar 05, 2017 03:54Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anatarajiwa kuwasili leo nchini Kenya katika safari ya kikazi ya siku mbili.
-
Vikosi vya usalama vya Kenya vyawekwa katika hali ya tahadhari baada ya mauaji ya Baringo
Feb 27, 2017 07:49Vikosi vya usalama vya Kenya vimewekwa katika hali ya tahadhari kaskazini magharibi mwa nchi hiyo baada ya kuongezeka mauaji katika Kaunti ya Baringo.
-
Kenya yaomba msaada kwa ajili ya kukabiliana na ukame
Feb 21, 2017 07:33Serikali ya Kenya imeomba msaada wa mashirika ya kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na ukame ulioikumba nchi hiyo.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu ukame unaoikabili Somalia
Feb 03, 2017 04:09Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa nchi ya Somalia inakabiliwa na ukame na hivyo kuiongezea matatizo nchi hiyo ya Pembe ya Afrika inayokabiliwa pia na tatizo la njaa na ukosefu wa amani na usalama.