-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusiana na ukame nchini Somalia
Jan 18, 2017 16:39Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusiana na kuongezeka matatizo ya Somalia kutokana na ukame unaoikabili nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu uhaba wa chakula barani Afrika
Jan 02, 2017 04:18Maeneo mengi ya bara la Afrika mwaka huu mpya wa 2017 yataendelea kusumbuliwa na uhaba wa chakula na hatari ya baa la njaa na ukame kwa kadiri kwamba, Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi kwamba karibu watu milioni 20 hawatakuwa na usalama wa chakula katika nchi za kaskazini na mashariki mwa Afrika.
-
UN yatoa wito wa kusaidiwa nchi ya Somalia
Dec 03, 2016 04:44Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa jumuiya za kitaifa kutoa misaada ya kibinadamu kwa Somalia.
-
Rais wa Somalia: Maeneo mengi ya nchi yanakabiliwa na ukame
Nov 14, 2016 04:07Rais Hassan Sheikh Mohamoud wa Somalia ameitaka jamii ya kimataifa kutuma misaada ya dharura katika maeneo yanayokabiliwa na ukame na baa la njaa nchini humo.
-
Taarifa ya jumuiya ya SADC kuhusiana na kukabiliana na ukame
Oct 06, 2016 13:25Jumuiya ya Ustawi ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC imetangaza kuwa, taathira za ukame kwa wananchi wa eneo la kusini mwa Afrika ni mbaya sana.
-
Msaada unatakiwa kuzisaidia nchi za Kusini mwa Afrika zilizoathiriwa na ukame
Aug 01, 2016 07:25Mashirika ya utoaji misaada ya kibinadamu kusini mwa Afrika yameomba kusaidiwa kiasi cha dola bilioni moja ili kukabiliana na janga la ukame lililoziathiri baadhi ya nchi za kusini mwa Afrika.
-
UN: Wakulima milioni 23 wanahitajia msaada kusini mwa Afrika
Jul 29, 2016 04:16Umoja wa Mataifa umesema wakulima milioni 23 katika nchi za kusini mwa Afrika wanahitajia msaada wa dharura kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa upaliliaji.
-
Watu karibu laki sita wanakabiliwa na baa la njaa Angola
Jun 03, 2016 03:53Umoja wa Mataifa umeonya kuwa watu laki tano na elfu 80 wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa nchini Angola.
-
Watu milioni 8 wanahitajia msaada wa chakula Malawi
May 26, 2016 04:26Serikali ya Malawi imesema kuwa, zaidi ya watu milioni 8 wanahitajia msaada wa chakula nchni humo.
-
Msalaba Mwekundu: Watu milioni 31 wanahitaji misaada ya dharura kusini mwa Afrika
May 18, 2016 03:33Mashirika ya Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu yamesema yanahitaji dola milioni 110 za Marekani ili kuzisaidia nchi za kusini mwa Afrika, zinazokabiliwa na hali mbaya ya ukosefu wa chakula na lishe duni iliyosababishwa na ukame.