Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukanda wa Ghaza

  • WHO: Zaidi ya watu 15,600 wakiwemo watoto 3,800 wanahitaji kuondolewa haraka Gaza kwa ajili ya matibabu

    WHO: Zaidi ya watu 15,600 wakiwemo watoto 3,800 wanahitaji kuondolewa haraka Gaza kwa ajili ya matibabu

    Aug 24, 2025 08:23

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameeleza kuwa watu zaidi ya 15,600 katika Ukanda wa Gaza, wakiwemo watoto 3,800, wanahitaji kuondolewa haraka katika eneo hilo lililokumbwa na vita ili kupata huduma maalumu ya matibabu.

  • Hamas yaonya: Israel haitafikia malengo yake Ukanda wa Gaza

    Hamas yaonya: Israel haitafikia malengo yake Ukanda wa Gaza

    Aug 21, 2025 03:01

    Utawala wa Israel umeanza kupeleka vikosi vya jeshi lake kwenye viunga vya Jiji la Gaza kwa ajili ya kuanza kutekeleza mpango wake wa kukalia kwa mabavu eneo hilo kubwa zaidi la Ukanda wa Gaza, lakini Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeonya kuwa, Tel Aviv itashindwa kutimiza malengo yake.

  • Iran yaonya: Israel itajitanua zaidi Asia Magharibi iwapo haitadhibitiwa

    Iran yaonya: Israel itajitanua zaidi Asia Magharibi iwapo haitadhibitiwa

    Aug 18, 2025 07:34

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Esmaeil Baqaei amesema Israel ni tishio kwa usalama na uthabiti wa Asia Magharibi kutokana na mwenendo wake wake kupenda kujitanua, akionya kuwa eneo hili la kistratejia linaweza kukabiliwa na vita visivyoisha ikiwa utawala huo hautazuiwa.

  • Israel yaua Wapalestina wengine 60, yashadidisha ukatili wake 'Gaza City'

    Israel yaua Wapalestina wengine 60, yashadidisha ukatili wake 'Gaza City'

    Aug 18, 2025 03:13

    Jeshi la Israel limeshadidisha mashambulizi katika Jiji la Gaza kama sehemu ya operesheni zake zilizopanuliwa zenye lengo la kuteka na kukalia kwa mabavu eneo hilo la 'mwisho' lenye idadi kubwa ya watu katika Ukanda wa Gaza, na kulazimisha makumi ya maelfu ya Wapalestina wanaokabiliwa na njaa kukimbia tena.

  • Wanahabari Nigeria walaani mauaji ya waandishi wenzao huko Gaza

    Wanahabari Nigeria walaani mauaji ya waandishi wenzao huko Gaza

    Aug 18, 2025 03:13

    Muungano wa Waandishi wa Habari wa Nigeria (NUJ) umelaani vikali mauaji ya wanahabari yaliyofanywa na utawala ghasibu wa Israel huko Gaza na kusisitiza kuwa, hujuma hizo za utawala wa Kizayuni dhidi ya waandishi wenzao katu haziwezi kuwazuia wahudumu wa tasnia hiyo kuendelea kufichua ukweli.

  • Hamas: Israel imeingia katika marhala mpya ya mauaji ya kimbari Gaza

    Hamas: Israel imeingia katika marhala mpya ya mauaji ya kimbari Gaza

    Aug 17, 2025 23:57

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali mpango wa Israel wa kukalia kwa mabavu Jiji la Gaza na kuwahamisha kwa nguvu wakazi wake na kusisitiza kuwa, huo ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.

  • Makundi ya mapambano ya Palestina yalaani mauaji ya Israel dhidi ya waandishi wa habari

    Makundi ya mapambano ya Palestina yalaani mauaji ya Israel dhidi ya waandishi wa habari

    Aug 11, 2025 04:16

    Makundi ya mapambano ya ukombozi ya Palestina yamelaami vikali mauaji ya halaiki yaliyofanywa na Israel dhidi ya waandishi habari na wapiga picha kadhaa katika Ukanda wa Gaza.

  • Simulizi ya daktari Mmarekani aliyerejea kutoka Gaza; mauaji makubwa ya kimbari yanajiri katika eneo hilo

    Simulizi ya daktari Mmarekani aliyerejea kutoka Gaza; mauaji makubwa ya kimbari yanajiri katika eneo hilo

    Aug 10, 2025 05:23

    Mark Browner, daktari wa Marekani aliyerejea hivi karibuni kutoka Ukanda wa Gaza, amesema katika taarifa yake kwamba mauaji makubwa ya kimbari yanatokea katika eneo hilo na kwamba watu wengi wameaga dunia kwa njaa hivi karibuni katika eneo hilo.

  • Afisa wa UN: Israel inawasababishia njaa kwa makusudi watu wa Gaza

    Afisa wa UN: Israel inawasababishia njaa kwa makusudi watu wa Gaza

    Jul 23, 2025 00:20

    Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu anasema utawala wa Israel unawaua kwa makusudi watu wa Gaza na kupuuza maagizo ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ya kusitisha jinai zake.

  • WHO yasikitishwa na mashambulizi ya Israel dhidi ya wahudumu wake Gaza

    WHO yasikitishwa na mashambulizi ya Israel dhidi ya wahudumu wake Gaza

    Jul 22, 2025 00:54

    Jeshi la Israel lilishambulia mara tatu makazi ya wafanyakazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika Ukanda Gaza, pamoja na ghala lake kuu jana Jumatatu , amesema mkuu wa shirika hilo la Umoja wa Mataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS