-
Vita vya Ukraine vyaubebesha Umoja wa Ulaya zigo zito la madeni
Jan 24, 2024 03:26Umoja wa Ulaya umelazimika kubeba zigo zito la madeni kutokana na kuifuata kibubusa Marekani katika kuiunga mkono Ukraine kwenye vita na Russia.
-
Russia: Marekani inatumia vita vya Ukraine kama mradi wenye faida
Jan 24, 2024 00:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa Marekani inaona vita kati ya Russia na Ukraine kama "mradi wa faida" na kusema: Moscow iko tayari kwa mazungumzo na Ukraine kwa ajili ya kumaliza mzozo huo.
-
Mkuu wa Intelijensia ya Russia: Marekani inaanzisha 'Serikali ya Kikoloni' ndani ya Ukraine
Jan 23, 2024 02:10Mkuu wa Shirika la Intelijensia la Russia amesema, Marekani imeanza kuunda "serikali ya kikoloni" nchini Ukraine inayojumuisha wanasiasa wa ndani ambao wamekula kiapo cha utiifu kwa Washington.
-
CNN: Marekani inatazamia kutuma Ukraine msaada mkubwa zaidi kabla ya 2025
Jan 20, 2024 23:09Televisheni ya CNN yenye makao yake nchini Marekani imeripoti kuwa Washington inatazamia kutuma msaada mubwa zaidi huko Ukraine kabla ya Januari mwaka 2025 na kukfanyika uchaguzi wa rais nchini humo.
-
Russia: Amani ya Ukraine inategemea kusimamishwa upelekekaji silaha nchini humo
Jan 15, 2024 10:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa mazungumzo ya amani kwa ajili ya Ukraine yanawezeka tu kwa kusimamishwa upelekaji wa silaha kwa nchi hiyo.
-
Medvedev: Kupeleka Uingereza askari wake Ukraine kutamaanisha kutangaza vita dhidi ya Russia
Jan 13, 2024 02:46Dmitry Medvedev, Naibu Mkuu wa Baraza la Usalama la Russia amesema, kupelekwa askari wa jeshi la Uingereza nchini Ukraine kutakuwa sawa na kutangaza vita dhidi ya Russia.
-
Russia: Kuipindua serikali ya Kiev ni "lengo muhimu na lisiloepukika" la operesheni za kijeshi Ukraine
Dec 29, 2023 05:56Naibu Mkuu wa Baraza la Usalama la Russia ametangaza kuwa kupinduliwa serikali ya Kiev ni "lengo muhimu zaidi na lisiloweza kuepukika" la operesheni za kijeshi za nchi hiyo nchini Ukraine.
-
Marekani yaikatisha tamaa Ukraine, onyo la Zelensky
Dec 23, 2023 02:50Kuendelea mvutano kati ya Warepublican na Ikulu ya White House juu ya kupasishwa msaada mpya kwa Ukraine, pamoja na kutoa kipaumbele Washington kwa vita vya Gaza na natija yake kusahaulika vita vya Ukraine, kumepelekea serikali ya Biden kuitahadharisha Kyiv kuhusu uwezekano wa kukatiwa au kupunguziwa kiasi kikubwa cha misaada yake.
-
Russia: Wamagharibi hatimaye wataondoka Ukraine
Dec 12, 2023 00:05Mkuu wa Idara ya Ujasusi wa Kigeni ya Russia amesema: "Utawala kibaraka wa Kyiv, ambao ni ngeni kwa watu wengi wa Ukraine na umetekeleza mauaji ya umwagaji damu huko Donbass, Odessa na miji na vijiji vingi vya nchi hiyo, hatimaye utaachwa na kutupiliwa mbali na Wamagharibi."
-
Marekani yakiri kushindwa suluhisho la kijeshi kwa mgogoro wa Ukraine
Dec 04, 2023 23:08Jenerali Charles Brown Jr, Mkuu wa Kamandi ya Pamoja ya Jeshi la Marekani, huku akibainisha kwamba vita daima humalizika kwa makubaliano ya kidiplomasia, amesisitiza kuwa mzozo wa Ukraine hauwezi kutatuliwa kwa njia za kijeshi.