Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Zelensky akosoa upuuzaji wa nchi za Magharibi kwa Ukraine

    Zelensky akosoa upuuzaji wa nchi za Magharibi kwa Ukraine

    Dec 02, 2023 06:54

    Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amezikosoa nchi za Magharibi chini ya uongozi wa Marekani kwa kuisahau Ukraine na kuipunguzia misaada nchi hiyo katika vita na Russia.

  • Sputnik: Asilimia 50 ya vikosi vya jeshi la Ukraine ni mamluki wa nchi ajinabi

    Sputnik: Asilimia 50 ya vikosi vya jeshi la Ukraine ni mamluki wa nchi ajinabi

    Nov 18, 2023 23:38

    Shirika la habari la Sputnik la Russia limeripoti kuwa matokeo kadhaa ya hujuma za redio katika masafa ya jeshi la Ukraine yanaonyesha kuwa asilimia 50 ya vikosi vya jeshi la Ukraine ni mamluki wa kigeni.

  • Kremlin: Russia haiwezi kushindwa katika medani ya vita

    Kremlin: Russia haiwezi kushindwa katika medani ya vita

    Nov 09, 2023 23:22

    Msemaji wa Ofisi ya Rais wa Russia (Kremlin) amesema ni muhali kwa jeshi la Russia kushindwa katika medani ya vita.

  • Hitilafu kati ya Warepublican and White House kuhusu msaada kwa Israel na Ukraine

    Hitilafu kati ya Warepublican and White House kuhusu msaada kwa Israel na Ukraine

    Nov 04, 2023 22:55

    Katika hali ambayo serikali ya Biden imetangaza kuunga mkono kikamilifu jinai za utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Ghaza na hata kupinga usitishaji vita, lakini suala la msaada wa kifedha kwa Israel ambalo linatiliwa maanani na Warepublican sambamba na mtazamo wa White ambayo inataka kutolewa kwa wakati mmoja misaada ya fedha na silaha kwa Ukraine limezusha hitilafu kubwa kati ya Kongresi na White House.

  • Kiongozi wa upinzani: Zelensky atakuwa rais wa mwisho wa Ukraine

    Kiongozi wa upinzani: Zelensky atakuwa rais wa mwisho wa Ukraine

    Nov 03, 2023 23:33

    Kiongozi wa zamani wa upinzani wa Ukraine amekosoa vikali mienendo ya Rais wa nchi hiyo, Volodymyr Zelensky na kusema kuwa, yumkini mwanasiasa huyo atakakuwa rais wa mwisho wa Ukraine.

  • Balozi wa Korea Kaskazini nchini Russia: Marekani itashindwa huko Ukraine kama ilivyofeli Afghanistan

    Balozi wa Korea Kaskazini nchini Russia: Marekani itashindwa huko Ukraine kama ilivyofeli Afghanistan

    Oct 21, 2023 23:50

    Balozi wa Korea Kaskazini nchini Russia amelaani uungaji mkono na misaada ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine na kusema, mara hii pia Marekani itashindwa na kufeli kama ilivyokuwa huko Afghanistan.

  • Russia yaharibu mfumo wa M777 wa Marekani huko Ukraine.

    Russia yaharibu mfumo wa M777 wa Marekani huko Ukraine.

    Oct 08, 2023 04:47

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuharibu mfumo wa M777 wa Marekani na wa Crab katika operesheni yake ya kijeshi nchini Ukraine.

  • Wasiwasi wa Biden kuhusu kukatizwa misaada ya Ukraine

    Wasiwasi wa Biden kuhusu kukatizwa misaada ya Ukraine

    Oct 05, 2023 23:18

    Mvutano wa ndani wa Warepublican umetatiza mazungumzo ya bajeti katika Baraza la Wawakilishi la Marekani umepelekea Ikulu ya White House kuwa na wasiwasi juu ya kuendelea kuunga mkono Kyiv kama kipaumbele kikuu cha siasa za kigeni za utawala wa Biden.

  • Maelfu waandamana Ujerumani kupinga kupewa silaha Ukraine

    Maelfu waandamana Ujerumani kupinga kupewa silaha Ukraine

    Oct 04, 2023 23:45

    Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji wa Munich, kusini mwa Ujerumani kupinga vita na kupewa silaha Ukraine.

  • Rais wa Mexico akosoa misaada ya kijeshi ya US kwa Ukraine

    Rais wa Mexico akosoa misaada ya kijeshi ya US kwa Ukraine

    Oct 03, 2023 23:39

    Rais Andrés Manuel López Obrador wa Mexico ameikosoa vikali Marekani kwa kutumia mabilioni ya dola kuisheheneza kwa silaha Ukraine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS