Jul 25, 2022 11:30
Mwandishi na mwanafalsafa wa Ufaransa, Chantal Delsol anasema kwamba ustaarabu unaotegemea mila na sheria za imani ya Kikristo umenyauka tangu mwisho wa karne ya 20, kwa sababu Ukristo unazidi kutoweka kama marejeo makuu ya sheria, desturi na maadili, baada ya kkutawala Uulaya na Magharibi kwa karibu karne 16.