-
Nabih Berri: Nchi za Kiislamu zifunge balozi zao zilizoko Marekani
Feb 21, 2017 10:28Spika wa Bunge la Lebanon ameziasa nchi za Kiislamu zifunge balozi zao zilizoko Marekani kulalamikia mpango wa Washington wa kutaka kuhamishia ubaloizi wake ulioko Israel huko Quds Tukufu.
-
Morocco, mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu
Feb 15, 2017 12:28Mkutano wa saba mkuu wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Ulimwengu wa Kiislamu katika kulinda utambulisho wa Kiislamu wa "Quds Tukufu" umefanyika nchini Morocco.
-
Zarif asisitiza udharura wa kuwepo umoja na mshikamano wa Kiislamu
Jan 12, 2017 00:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa kuwepo umoja na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu
-
Washiriki kikao cha Mwamko wa Kiislamu wasisitiza kuimarishwa Umoja na kupambana na uchupaji mipaka
Dec 16, 2016 12:22Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu ameeleza kuwa washiriki wa kikao cha kumi cha Baraza Kuu la jumuiya hiyo wamesisitizia wajibu wa kuimarishwa umoja na kupambana na misimamo ya kuchupa mipaka katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Al-Houthi: Saudia ni mbeba bendera ya unafiki katika Ulimwengu wa Kiislamu
Oct 12, 2016 23:15Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema "utawala wa kishetani wa Saudia" ni "mbeba bendera ya unafiki" katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Qazi Askari: Ulimwengu wa Kiislamu uonyeshe radiamali kuhusiana na maafa ya Mina
Sep 10, 2016 09:17Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya Hija na Ziara amesema kuwa, Iran ndiyo nchi pekee iliyosimama kidete kuhusiana na maafa ya Mina na kwamba, Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuonyesha radiamali kuhusiana na tukio hilo chungu.
-
Sasa ni ruhsa kwa polisi wa Uturuki kuvaa Hijabu
Aug 27, 2016 23:34Kwa mara ya kwanza, serikali ya Uturuki imetoa ruhusa kwa polisi wa kike kuvaa vazi la staha la Hijabu wakiwa kazini. Ruhusa hiyo imetolewa kupitia hukumu iliyotangazwa jana Jumamosi katika gazeti rasmi la serikali.
-
Velayati: Iran, Uturuki zina nafasi chanya katika ulimwengu wa Kiislamu
Jul 31, 2016 23:34Mshauri wa Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki zina nafasi muhimu katika kuboresha mustakabali wa ulimwengu wa Kiislamu.
-
Marekani, chanzo cha fitina katika Ulimwengu wa Kiislamu
Jul 29, 2016 12:03Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa chanzo cha fitina zote na migogoro ya hivi karibuni katika Ulimwengu wa Kiislamu ni hatua za wazi na za siri za Marekani na waitifaki wake.
-
Siku ya Quds, Siku ya kuikomboa Baitul Muqaddas
Jun 29, 2016 03:18Idadi kadhaa ya wanazuoni na wanasiasa wa Ulimwengu wa Kiislamu wameitaja Siku ya Kimataifa ya Quds kuwa ni Siku ya kuikomboa Baitul Muqaddas na kuwaunga mkono waliodhulumiwa.