-
Mjumbe wa UN ataka kuundwe kamati ya kimataifa kwa ajili ya mgogoro wa Yemen
Feb 28, 2017 12:38Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen ametoa wito wa kuundwa kamati ya kimataifa kwa ajili ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa nchi hiyo.
-
UN yaitaka Myanmar ikomeshe jinai zake dhidi ya Waislamu wa Rohingya
Feb 28, 2017 01:02Umoja wa Mataifa umesema ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wa Myanmar umefikia kiwango cha kutia wasi wasi na ni mkubwa zaidi ya ilivyodhaniwa.
-
Sisitizo la kuundwa kamati maalumu ya kusimamia makubaliano ya Kongo
Feb 27, 2017 10:39Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesisitiza kuwa kuna udharura wa kuundwa kamati maalumu ya kusimamia makubaliano yaliyofikiwa hivi karibuni huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kati ya serikali na vyama vya upinzani.
-
WHO yaeleza wasiwasi wake kuhusu mgogoro wa afya nchini Yemen
Feb 24, 2017 00:17Shirika la Afya Duniani (WHO) limeeleza wasiwasi wake mkubwa kuhusu uhaba mkubwa wa dawa, nishati na wahudumu wa masuala ya afya nchini Yemen.
-
UN: Licha ya kupatikana amani ya kiwango fulani Darfur, bado Sudan inakabiliwa na hali mbaya
Feb 23, 2017 10:52Umoja wa Mataifa umetoa ripoti ukisema kuwa, licha ya kufikiwa usalama wa kiwango fulani huko katika eneo la Darfur, magharibi mwa Sudan, lakini bado kuna mapigano ya mara kwa mara nchini humo.
-
UN: Kesi ya mtoto wa rais wa zamani wa Libya ipelekwe ICC
Feb 22, 2017 00:37Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kupelekwa faili la kesi ya Saif al-Islam Gaddafi, mwana wa Kanali Muammar Gaddafi, kiongozi wa zamani wa Libya katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Wayemen waandamana kwa mara ya 61 mbele ya ofisi ya UN kuilaani Saudia na UN
Feb 21, 2017 10:53Wananchi wa Yemen wamefanya maandamano makubwa kwa mara ya 61 ndani ya kipindi cha miaka miwili mbele ya ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Sana'a, mji mkuu wa nchi hiyo wakilaani kimya cha umoja huo mbele ya jinai za Saudia na waitifaki wake dhidi ya nchi yao.
-
Zarif na Guterres wajadili hali ya Waislamu Warohingya nchini Myanmar
Feb 18, 2017 23:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wamejadili na kubadilishana mawazo kuhusu hali mbaya waliyonayo Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar, hali ya mambo katika nchi za Yemen, Syria na Iraq na nafasi ya Umoja wa Mataifa katika kutatua migogoro hiyo.
-
Katibu Mkuu wa UN: Bila ya njia jumuishi za kisiasa haitowezekana kuishinda Daesh
Feb 18, 2017 12:49Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesisitiza kuwa haitowezekana kulishinda kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika nchi za Syria na Iraq pasina kuwa na njia ya ufumbuzi wa kisiasa jumuishi na wa pande zote.
-
UN yasisitiza udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina
Feb 16, 2017 12:25Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina.