Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya Sudan Kusini

    UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya Sudan Kusini

    Feb 14, 2017 09:39

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu machafuko na mapigano yanayoshadidi zaidi nchini Sudan Kusini.

  • Umoja wa Mataifa wampongeza Rais mpya wa Somalia

    Umoja wa Mataifa wampongeza Rais mpya wa Somalia

    Feb 10, 2017 04:44

    Antonio Guterres, Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa amempongeza Rais mpya wa Somalia na kumtaka aunde baraza la mawaziri jumuishi.

  • UN na AU zamuunga mkono rais mpya wa Somalia

    UN na AU zamuunga mkono rais mpya wa Somalia

    Feb 10, 2017 00:57

    Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa zimetangaza uungaji mkono wao kwa rais mpya wa Somalia.

  • UN yatahadharisha juu ya hali mbaya ya kibinaadamu katika mkoa wa Tanganyika Kongo DR

    UN yatahadharisha juu ya hali mbaya ya kibinaadamu katika mkoa wa Tanganyika Kongo DR

    Feb 09, 2017 13:08

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha juu ya hali mbaya ya kibinaadamu katika mkoa wa Tanganyika, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • UN: Zaidi ya Waislamu 1000 wameuawa katika operesheni za jeshi la Myanmar

    UN: Zaidi ya Waislamu 1000 wameuawa katika operesheni za jeshi la Myanmar

    Feb 09, 2017 12:40

    Maafisa wawili wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa wamesema kuwa, zaidi ya Waislamu 1000 wa kabila la Rohingya wameuawa katika operesheni za jeshi la Myanmar kaskazini mwa nchi hiyo.

  • UN: Wakimbizi 52,000 wa Sudan Kusini wameingia Uganda mwezi jana

    UN: Wakimbizi 52,000 wa Sudan Kusini wameingia Uganda mwezi jana

    Feb 09, 2017 03:56

    Umoja wa Mataifa umesema wakimbizi 52,000 raia wa Sudan Kusini waliingia nchini Uganda mwezi uliopita pekee wa Januari, kutokana na kuendelea kushuhudiwa mauaji na machafuko katika nchi yao.

  • Umoja wa Mataifa: Watetezi wa haki za binadamu wanakandamizwa nchini Burundi

    Umoja wa Mataifa: Watetezi wa haki za binadamu wanakandamizwa nchini Burundi

    Feb 09, 2017 00:58

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusiana na vitendo vya ukandamizaji dhidi ya watetezi wa haki za binadamu huko nchini Burundi.

  • Njaa yawanyemelea maelfu Nigeria kutokana na ugaidi wa Boko Haram

    Njaa yawanyemelea maelfu Nigeria kutokana na ugaidi wa Boko Haram

    Feb 09, 2017 00:36

    Maelfu ya watu wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa nchini Nigeria kutokana na mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.

  • UN: Israel imevuka mstari mwekundu kwa kuidhinisha ujenzi haramu

    UN: Israel imevuka mstari mwekundu kwa kuidhinisha ujenzi haramu

    Feb 08, 2017 00:04

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa Israel imekanyaga mstari mwekundu kwa kupasisha sheria ya kuhalalisha ujenzi mpya wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo wa Kizayuni.

  •   UN hali ya jela nchini Tunisia inatia wasiwasi

    UN hali ya jela nchini Tunisia inatia wasiwasi

    Feb 04, 2017 12:52

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, hali ya jela za Tunisia inatia wasiwasi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS