-
UN: Vikosi vya usalama vya Myanmar vimekiuka pakubwa haki za Waislamu wa Rohingya
Feb 04, 2017 12:41Umoja wa Mataifa umesema kuwa, vikosi vya usalama vya Myanmar vimefanya ukiukaji mkubwa wa haki dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wa nchi hiyo.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu ukame unaoikabili Somalia
Feb 03, 2017 00:39Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa nchi ya Somalia inakabiliwa na ukame na hivyo kuiongezea matatizo nchi hiyo ya Pembe ya Afrika inayokabiliwa pia na tatizo la njaa na ukosefu wa amani na usalama.
-
UN, EU, Vatican zakasirishwa na sheria ya ubaguzi ya Trump
Feb 02, 2017 04:02Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya na Vatican zimelaani sheria tata ya ubaguzi ya Rais Donald Trump wa Marekani, ya kuzuia wakimbizi na raia wa nchi saba za Kiislamu kuingia nchini humo.
-
Wafanyakazi 5 wa UN wauawa mpakani mwa Cameroon-Nigeria
Feb 02, 2017 02:27Wafanyakazi watano wa Umoja wa Mataifa wameuawa katika mazingira ya kutatanisha na watu wasiojulikana katika mpaka wa Cameroon na Nigeria.
-
UN: Saudi Arabia imetenda jinai kubwa za kivita nchini Yemen
Jan 31, 2017 00:40Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, Saudi Arabia imefanya jinai za kivita katika mashambulizi yake ya kijeshi nchini Yemen.
-
Umoja wa Mataifa: Hatua ya Trump inakiuka sheria za kimataifa
Jan 31, 2017 00:39Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa, amri iliyotiwa saini na Rais Donald Trump wa Marekani ya kuzuia raia wa nchi saba za Kiislamu kuingia nchini Marekani ni kinyume cha sheria za kimataifa.
-
Guterres: Nipo tayari kufanya juhudi za kurejesha amani Afrika
Jan 30, 2017 11:44Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, upo tayari kufanya juhudi za kurejesha amani katika nchi za Kiafrika.
-
UN: Watu milioni 5.6 wanakabiliwa na njaa Ethiopia
Jan 29, 2017 10:18Umoja wa Mataifa umesema mamilioni ya watu wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na athari za kiangazi na ukame nchini Ethiopia.
-
Guterres: Mitazamo inayowabagua Waislamu inahuzunisha sana
Jan 28, 2017 04:15Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema jumuiya hiyo ya kimataifa ina wasiwasi mkubwa kuhusu ubaguzi unaowalenga wahajiri na jamii za waliowachache.
-
Mjumbe wa UN awasili Gambia baada ya Rais Barrow kurejea nchini
Jan 27, 2017 01:09Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Gambia amewasili katika nchi hiyo ya Kiafrika kwa ajili ya mazungumzo na viongozi wa serikali mpya ya Banjul.