-
Umoja wa Mataifa: Vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu DRC vimeongezeka
Jan 26, 2017 10:18Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu vimeongezeka mno katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
UN kuchunguza uvunjaji sheria wa maafisa wake Darfur Sudan
Jan 21, 2017 10:18Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, unafanya uchunguzi kuhusu madai kwamba maafisa wake wa kulinda amani katika eneo la Darfur la magharibi mwa Sudan, wamehamisha silaha kinyume cha sheria.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusiana na ukame nchini Somalia
Jan 18, 2017 13:09Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusiana na kuongezeka matatizo ya Somalia kutokana na ukame unaoikabili nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Waislamu wa Myanmar wanatarajia mabadiliko chanya nchini
Jan 18, 2017 04:41Ziara ya siku tatu iliyofanywa huko Myanmar na Yanghee Lee Mjumbe wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kuchunguza hali ya Waislamu katika jimbo la Rakhine nchini humo imewapa matumaini Waislamu kuwa huenda hali yao ikaboreka.
-
Guterres ataka kuwekewa vikwazo wanaokiuka makubaliano ya amani Mali
Jan 17, 2017 04:22Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la umoja huo kuwawekea vikwazo wahusika wakuu wa ukiukaji makubaliano ya amani nchini Mali.
-
UN: Wayemen milioni 19 wanahitaji misaada ya dharura
Jan 16, 2017 00:21Umoja wa Mataifa umesema takriban watu milioni 19 wanahitajia misaada ya dharura ya kibinadamu nchini Yemen.
-
Umoja wa Mataifa walaani hatua ya Bahrain kuwanyonga wanaharakati
Jan 15, 2017 10:57Umoja wa Mataifa umelaani vikali hatua ya utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain ya kuwanyonga wanaharakati watatu kwa madai bandia ya kuhusika na shambulizi la kigaidi la mwaka 2014.
-
Korea Kaskazini yaitaka UN kuunda tume ya kuchunguza maazimio yaliyopitishwa dhidi yake
Jan 12, 2017 11:07Korea Kaskazini imetoa pendekezo kwa Umoja wa Mataifa la kuundwa tume ya kimataifa itakayowajumuisha wataalamu wa sheria kwa ajili ya kuchunguza maazimio yaliyopitishwa na Baraza la Usalama katika kuhalalisha vikwazo dhidi yake kwa tuhuma za kumiliki silaha za nyuklia au makombora ya balestiki.
-
UN yasisitiza kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Libya mwaka huu
Jan 08, 2017 09:39Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa, mwaka huu wa 2017 unapaswa kuwa mwaka wa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Libya na kurejesha amani nchini humo.
-
Umoja wa Mataifa kuchunguza mauaji na jinai dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar
Jan 06, 2017 11:22Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, utafanya uchunguzi kuhusiana na ukandamizaji na mauaji yanayoripotiwa kufanywa dhidi ya jamii ya walio wachache ya Waislamu wa Rohingya katika jimbo la Rakhine nchini Myanmar.