Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN yataka kutekelezwa makubaliano ya kukabidhi madaraka Kongo DR

    UN yataka kutekelezwa makubaliano ya kukabidhi madaraka Kongo DR

    Jan 05, 2017 04:26

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetaka kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya kukabidhi madaraka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Mwakilishi wa Iran UN: Mandela ni nembo ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi

    Mwakilishi wa Iran UN: Mandela ni nembo ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi

    Jan 05, 2017 04:10

    Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemtaja hayati mzee Nelson Mandela kuwa nembo ya mapambano dhidi ya ukandamizaji na ubaguzi wa rangi.

  • UN: Ghasia na ugaidi vimeua raia karibu 7000 Iraq, 2016

    UN: Ghasia na ugaidi vimeua raia karibu 7000 Iraq, 2016

    Jan 04, 2017 00:26

    Umoja wa Mataifa umesema takriban raia elfu 7 wameuawa katika mapigano na mashambulizi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS mwaka uliomalizika wa 2016 nchini Iraq.

  • Mtazamo wa Katibu Mkuu mpya wa UN kuhusu masuala mbalimbali ya ulimwengu

    Mtazamo wa Katibu Mkuu mpya wa UN kuhusu masuala mbalimbali ya ulimwengu

    Jan 03, 2017 02:53

    Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa amebainisha mtazamo wake kuhusu masuala mbalimbali yanayouhusu ulimwengu na kueleza kuwa, raia wa nchi za Magharibi khususan Wamarekani wamechoshwa na hali ya sasa katika nchi zao na wanataka kuona matukio mengine tofauti yakijiri duniani.

  • UN ina wasiwasi kuhusu athari za El-Nino kaskazini na mashariki mwa Afrika

    UN ina wasiwasi kuhusu athari za El-Nino kaskazini na mashariki mwa Afrika

    Jan 01, 2017 13:06

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa una wasiwasi kuhusu maafa yanayosababishwa na tatizo la mabadiliko ya tabia nchi ya El-Nino katika maeneo ya kaskazini na mashariki mwa Afrika.

  • Naibu Katibu Mkuu wa UN ahimiza umoja na mshikamano wa walimwengu

    Naibu Katibu Mkuu wa UN ahimiza umoja na mshikamano wa walimwengu

    Dec 31, 2016 00:19

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewataka viongozi wa nchi zote duniani kuimarisha umoja na mshikamano na kujiepusha na hitilafu na mifarakano.

  • UN: Ubomoaji nyumba za Wapalestina unaofanywa na Israel umeongezeka  mno

    UN: Ubomoaji nyumba za Wapalestina unaofanywa na Israel umeongezeka mno

    Dec 30, 2016 01:00

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mwaka huu unaomalizika wa 2016 umeshuhudia ongezeko la vitendo vya uvunjaji na ubomoaji nyumba za Wapalestina uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Guterres: Mgogoro wa Syria ni saratani ya kimataifa

    Guterres: Mgogoro wa Syria ni saratani ya kimataifa

    Dec 29, 2016 03:41

    Katibu Mkuu mteule wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema mgogoro wa Syria umegeuka na kuwa 'saratani ya kimataifa.'

  • Malalamiko ya wananchi wa Yemen kwa Umoja wa Mataifa

    Malalamiko ya wananchi wa Yemen kwa Umoja wa Mataifa

    Dec 27, 2016 03:17

    Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen imeulaumu na kuulalamikia vikali Umoja wa Mataifa na kuutaka utekeleze majukumu yake ya kukabiliana na jinai za ukoo wa Aal Saud nchini humo.

  • UN yataka Nabil Rajab aachiwe huru haraka na bila ya masharti

    UN yataka Nabil Rajab aachiwe huru haraka na bila ya masharti

    Dec 24, 2016 12:10

    Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Aal Khalifa umwachie huru haraka na bila ya masharti yoyote Nabil Rajab, mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu nchini Bahrain anayeshikiliwa kwenye jela ya utawala huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS