-
Umoja wa Mataifa wakataa wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini
Dec 23, 2016 23:39Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepinga wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini, ambayo inashuhudia mapigano kwa mwaka wa nne sasa.
-
Umoja wa Mataifa wamtaka Jammeh akabidhi madaraka Gambia
Dec 23, 2016 04:07Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amemtaka Rais wa Gambia amkabidhi madaraka kwa amani Rais mteule wa nchi hiyo.
-
Kushadidi jinai za Saudia nchini Yemen, natija ya uzembe wa jamii ya kimataifa
Dec 22, 2016 23:12Umoja wa Mataifa umetangaza wasi wasi wake kuhusu ripoti kuwa Saudi Arabia inatumia mabomu ya vishada katika vita vyake dhidi ya nchi jirani ya Yemen.
-
Trump ataka azimio la UN dhidi ya Israel lipigiwe kura ya veto
Dec 22, 2016 11:47Rais mteule wa Marekani ametaka kupigiwa kura ya turufu azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kusitishwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
FAO: Watu milioni 12 Afrika Mashariki wanahitajia msaada wa chakula
Dec 21, 2016 23:35Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) limetahadharisha kuwa, watu milioni 12 katika kanda ya Afrika Mashariki wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na njaa.
-
Iran yalaani azimio la Canada dhidi yake katika Umoja wa Mataifa
Dec 21, 2016 00:21Iran imelaani azimio lililopitishwa dhidi yake katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu.
-
Onyo la Ban kuhusu uwezekano wa kutokea mauaji ya kimbari Sudan Kusini
Dec 20, 2016 11:15Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeondoka Ban Ki-Moon ameonya kuhusu uwezekano wa kuibuka mauaji ya kimbari Sudan Kusini iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa.
-
Ban akariri wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini
Dec 20, 2016 04:28Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa Sudan Kusini iko katika ncha ya kushuhudia mauaji ya kimbari iwapo hatua za dharura hazitachukuliwa, huku akikariri wito wake wa kutaka nchi hiyo iwekewe vikwazo vya silaha.
-
Ban Ki-moon apuuza Palestina katika siku zake za mwisho
Dec 19, 2016 04:50Wakati zikiwa zimebakia wiki mbili tu hadi kung'atuka madarakani kama Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amethibitisha tena kwamba, jumuiya hiyo ya kimataifa imeshindwa kuwa na nafasi na mchango muhimu katika mgogoro wa Palestina.
-
Umoja wa Mataifa watoa wito wa maridhiano ya kitaifa Libya
Dec 19, 2016 00:55Umoja wa Mataifa sanjari na kuvipongeza vikosi vitiifu vya Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Libya kwa kuudhibiti kikamilifu mji wa pwani wa Sirte na kuukomboa kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi la Daesh, umewataka wananchi wote wa nchi hiyo kushirikiana katika mchakato wa maridhiano ya kitaifa.