-
UN: Mustakabali wa kisiasa DRC umegubikwa na kiza
Oct 12, 2016 04:26Mjumbe wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa hali ya kisiasa na kiusalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ipo katika hali nyeti hivi sasa na kwamba huenda machafuko yakashtadi.
-
UN yaitaka Sudan Kusini ikubali kutumwa askari 4000 wa kieneo
Oct 12, 2016 04:10Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka Sudan Kusini itekeleze ahadi iliyotoa, ya kukubali makubaliano ya kimataifa ya kutumwa askari 4,000 wa kieneo nchini humo.
-
Palestina yaushtaki utawala wa Kizayuni kwa Umoja wa Mataifa
Oct 09, 2016 23:14Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetuma ripoti kwa Umoja wa Mataifa ikiushitaki utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kukanyaga sheria zote za kimataifa.
-
UN: Sudan izungumzie 'kutumiwa silaha za kemikali Darfur'
Oct 05, 2016 11:31Umoja wa Mataifa umeitaka Sudan ieleze msimamo wake kuhusu madai ya kutumiwa silaha za kemikali dhidi ya raia katika jimbo la Darfur.
-
Iran: Ugaidi umezuia kufikiwa Malengo ya Maendeleo Endelevu
Oct 04, 2016 04:43Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema ugaidi na misimamo mikali ya kufurutu ada vimekuwa kizingiti kikuu katika kufikiwa Malengo ya Maendeleo Endelevu SDGs.
-
UN: Wakimbizi 70,000 wa Dadaab wanataka kurudu Somalia
Oct 04, 2016 04:32Umoja wa Mataifa umesema robo ya wakimbizi wa Kisomali wanaoishi katika kambi ya Dadaab nchini Kenya wametangaza utayarifu wao wa kurejea nchini kwao Somalia karibuni hivi.
-
Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali mbaya ya kibinadamu kaskazini mashariki mwa Nigeria
Oct 02, 2016 04:27Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kwamba, iwapo nchi wafadhili hazitaisadia serikali ya Nigeria katika kuishughulikia hali mbaya ya kimaisha wanayokabiliwa nayo wakazi wa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo, basi ulimwengu utashuhudia mgogoro mbaya zaidi wa kibinadamu katika eneo hilo la magharibi mwa Afrika.
-
Umoja wa Mataifa kuimarisha kikosi chake cha kusimamia amani CAR
Oct 01, 2016 12:12Mkurugenzi wa Masuala ya Mawasiliano ya Wasimamia Amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ametangaza kuwa, umoja huo una mpango wa kuimarisha zaidi kikosi chake katika nchi hiyo.
-
Umoja wa Mataifa: Maefu ya watoto Nigeria wanakabiliwa na hatari ya kifo kutokana na ukame
Oct 01, 2016 10:29Umoja wa Mataifa umetahadharisha kwamba, endapo misaada ya kimataifa haitafika kwa wakati, basi maelfu ya watoto wa kaskazinu mashariki mwa Nigeria watafariki dunia ifikapo mwakani kutokana na ukame na lishe duni.
-
UN: Watoto 75 elfu wapo katika hatari ya kufa njaa Nigeria
Sep 29, 2016 10:24Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, maelfu ya watoto wadogo wapo katika hatari ya kupoteza maisha katika kipindi cha mwaka mmoja ujao, kutokana na njaa na utapiamlo 'uliosababishwa' na kundi la wanamgambo wa Boko Haram.